Sikilizeni wimbo huu Free Tundu Lissu!

Naona unalima nyanya
Lugha ya kiswahili inavitu vingi sana kwenye kutafsiri, usikurupuke kujibu kama una mashaka,
Lissu ni tishio kwa wapinzania wake na hivyo ili wamalize uchaguzi kiulaini lazima lisu adhibitiwa na hiki ndicho kilichotokea. Kwa nini aachiwe baada ya uchaguzi maana yake suala la kwamba lisu ni tishio tayali muda wa uchaguzi utakua umekwisha. wakimuachia kabla ya uchaguzi mambo yatawaendea vibaya watesi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…