Sikilizeni wimbo huu Free Tundu Lissu!

Your browser is not able to display this video.

#FREE TUNDU LISSU
 
Lissu ni Lissu, genious. Sasa vilaza wameona njia bora wamuweke ndani ili wapumue kilaza mwingime alitaka kumuua ila akafa yeye kamwacha.
Maisha haya aisee!! Mungu akiwa na wewe hakuna shetami wa kukatiza mbele yako
 
Lissu ni tishio kwa wapinzania wake na hivyo ili wamalize uchaguzi kiulaini lazima lisu adhibitiwa na hiki ndicho kilichotokea
"...uchaguzi wa kiulaini" wataupata wapi safari hii?

Kumwondoa Lissu hakutawasaidia; badala yake kutasaidia kuchochea moto zaidi wa kuwaondoa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…