Sikio la kufa halisikii dawa

Sikio la kufa halisikii dawa

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,891

Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi.

Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje.

Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima mzima na mabegi tayari kuja kukaa na mondi. Pengine ili lengo la kujiconnect lifikiwe, akabeba mimba chapchap, na muda mfupi baadaye waliona hawana chemistry.

Maneno aliyosaema huyu binti baada ya kuondoka Tanzania yalikuwa dhahiri kwamba mondi alitumika. Alisema "Sisi tukipata ujuzi kidogo tu, ukituonyesha, tunabeba na kufanya kweli".

Mambo mengi aliyoendelea nayo yalionyesha ameingia kwenye ushindani na baba wa mtoto wake.

Kaja kuleta mtoto, anaanza kujirahisi kama mnyama asiyweza kutawala hisia zake. Naona atazaa mtoto wa pili ili kumpigilia sawa sawa mondi.

Mambo ya nyota, tabia na kukosa maadili so forth hawayakumbuki tena.

Hapa hakuna love ila ni tamaa tu za mwili na malengo ya uchumi.

SIONI CHEMISTRY KATI YA HAWA WATU WAWILI!
 
Hawawezi kujiita kioo cha jamii kwa matabia ya kishenzi. Ni vyema wajiite kioo cha kuzimu kwa sababu mambo wanayoyafanya yanaharibu maadili ya jamii. Kuendekeza ngono na kutokuwa na kiasi, kujichanganya kwenye confusions na kuendekeza uzinzi hadharani, ni maangamizi ya vizazi vyetu. Boraw wajiite vioo vya kuzimu.
 
Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi.

Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje.

Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima mzima na mabegi tayari kuja kukaa na mondi. Pengine ili lengo la kujiconnect lifikiwe, akabeba mimba chapchap, na muda mfupi baadaye waliona hawana chemistry.

Maneno aliyosaema huyu binti baada ya kuondoka Tanzania yalikuwa dhahiri kwamba mondi alitumika. Alisema "Sisi tukipata ujuzi kidogo tu, ukituonyesha, tunabeba na kufanya kweli".

Mambo mengi aliyoendelea nayo yalionyesha ameingia kwenye ushindani na baba wa mtoto wake.

Kaja kuleta mtoto, anaanza kujirahisi kama mnyama asiyweza kutawala hisia zake. Naona atazaa mtoto wa pili ili kumpigilia sawa sawa mondi.

Mambo ya nyota, tabia na kukosa maadili so forth hawayakumbuki tena.

Hapa hakuna love ila ni tamaa tu za mwili na malengo ya uchumi.

SIONI CHEMISTRY KATI YA HAWA WATU WAWILI!

Kuna haja ya kufatilia maisha ya mtu hivi..
Mtoto wa kiume hebu maliza akili zako kwenye kutafuta hela.

#YNWA
 
Someone wanted some pics. Hazikuwekwa hapa kwa kila mtu. Na mimi siyo mtoto ni Babu, naugua kwa kuwa wanaoitwa vioo vya jamii kumbe ni vioo vya kuzimu!
 
Babu kila mtu aishi maisha atakayo.
Usitake kila mtu aishi kama mawazo YAKO yanavyoelekeza.

Live your life
Let them live their life.

Tafuta hela usipoteze muda kufatilia maisha ya mtu.

#YNWA
 
Wanaendana bana kwanza wote wadogo

Pili kila mmoja yupo onfire kutafuta kiki

Tatu mkenya mshamba anapelekeshwa tu maana kaleta mtoto copiraiti na domo ila hana hata endorsement hata moja aiseee

Khna watu walisema wakenya wana akili ila naona alikosea sana
 
Mbona naona na wewe kama unanifuatilia? Live your life, usije ukaonekana unataka niamini unavyotaka wewe kwamba dunia imekuwa shamba la shetani watu wasionywe wala kuongozwa. Hilo halipo. Nisiposema Mungu atanihukumu. Wewe kama unaona hutaki uadilifu, usitake na mimi nisitake. No!
 
Jifunza kupangilia habari unayo wasilisha,
Taratibu tu usiwe na haraka mkuu,
Ata ukitumia siku mbili sio mbaya.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mbona naona na wewe kama unanifuatilia? Live your life, usije ukaonekana unataka niamini unavyotaka wewe kwamba dunia imekuwa shamba la shetani watu wasionywe wala kuongozwa. Hilo halipo. Nisiposema Mungu atanihukumu. Wewe kama unaona hutaki uadilifu, usitake na mimi nisitake. No!
*****
acha kufatilia ya watu.
Wakati anazitafuta hukuwepo Basi kwenye kutumia usimpangie bajeti.
Aonge na kuwatomb* HAKUHUSU.
WAKATI ANA MAISHA MAGUMU ULIMNUNULIA HATA SODA?

#YNWA
 
Wanaendana bana kwanza wote wadogo

Pili kila mmoja yupo onfire kutafuta kiki

Tatu mkenya mshamba anapelekeshwa tu maana kaleta mtoto copiraiti na domo ila hana hata endorsement hata moja aiseee

Khna watu walisema wakenya wana akili ila naona alikosea sana

Umesema sawa, ila kwa mtu anayejua maisha, comment yako ya kwanza, si kitu kabisa katika maisha halisi. Labda maisha ya show!. Amelala na wadogo wangapi? Au huyo mdogo amelala na wanaume wangapi? Kwa mimi Babu yenu, nashauri watu waishi maisha halisi badala ya kutaka kufurahisha mitandao. Wadogo ni wengi lakini si wote wafaao. Pamoja na yote, angalia kichwa cha mtu. Ila bado narudia, hapa hakuna upendo. Ni show, tamaa za ngono na umaarufu (ili kala kasichana kawaonyeshe walikokazomea kameshindikana kwao na kukataa shule) kwamba kamefaulu maisha. Huwezi kutafuta maisha yadumuyo kwa kujirahsi na kujipeleka kwa wanaume. Utatumiwa na utaachwa.
Maisha, Maisha Maisha ni zaidi ya mwonekano na makofi mtandaoni.

Ndiyo sababu kuna maisha ya kazi na maisha ya nyumbani. Kanajigundisha kwa mondi ili akabebe tena kiasi cha kujirahisi kwa lolote. Sidhani kama wazazi wake wanabariki haya mambo. Ni ubishi na kukataa miongozo mizuri ya familia ambayo mwisho wake ni fedheha.
 
Sisi wanaume hatumii hata tukijua mwanamke anatutumia kwa njia moja au nyingine, cha muhimu ni vile tunapata kile tunachotaka, ndio maana unaona mara nyingi tunatumia pesa nyingi kuwavutia wadada. Sisi mashuga daddy hii mada yako hatuelewi kabisa, you're so sensitive like a 5 years old girl. Go home, nzi kufikia kwenye kidonda haina shida kabisa.
 
*****
acha kufatilia ya watu.
Wakati anazitafuta hukuwepo Basi kwenye kutumia usimpangie bajeti.
Aonge na kuwatomb* HAKUHUSU.
WAKATI ANA MAISHA MAGUMU ULIMNUNULIA HATA SODA?

#YNWA
Naona na wewe ni m'laya mmoja unayetaka kuishi kama shetani. Hunibadilishi ama kwa matusi au mihemuko. Nitasema kweli daima hadi sikuukifa utakuta sauti yangu inanena. Naona wewe ni tasa usiyekuwa na malezi pia
 
Back
Top Bottom