Sikio la kufa halisikii dawa

Sikio la kufa halisikii dawa



Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi.

Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje.

Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima mzima na mabegi tayari kuja kukaa na mondi. Pengine ili lengo la kujiconnect lifikiwe, akabeba mimba chapchap, na muda mfupi baadaye waliona hawana chemistry.

Maneno aliyosaema huyu binti baada ya kuondoka Tanzania yalikuwa dhahiri kwamba mondi alitumika. Alisema "Sisi tukipata ujuzi kidogo tu, ukituonyesha, tunabeba na kufanya kweli".

Mambo mengi aliyoendelea nayo yalionyesha ameingia kwenye ushindani na baba wa mtoto wake.

Kaja kuleta mtoto, anaanza kujirahisi kama mnyama asiyweza kutawala hisia zake. Naona atazaa mtoto wa pili ili kumpigilia sawa sawa mondi.

Mambo ya nyota, tabia na kukosa maadili so forth hawayakumbuki tena.

Hapa hakuna love ila ni tamaa tu za mwili na malengo ya uchumi.

SIONI CHEMISTRY KATI YA HAWA WATU WAWILI!

Utakuwa Zuchu weye...
 
Back
Top Bottom