The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Yaani jinsi Diamond alivyobadili mziki wa TZ ungefikiri wasanii wengine wange muiga lakini wapi. Bado wanarudia makosa yale yale na wanashangaa kwa nini hawafiki mbali. Ally kiba bado anavaa vile vile kwenye steji na kwenye video nguo zile zile anazo zurura nazo mitaani video still mbovu mbovu.
Ommy Dimpoz bado anaona sifa kuringa ringa kutoa video hadi nyimbo yake ya Tupogo inachuja sasa haina video na haoni hasara aliyopata.
Lynex nae hivyo hivyo nyimbo ya mahakama ya mapenzi hadi imechuja haina video wakati mwenzao Diamond nyimbo moja video mbili na zaidi ya million 80 katumia no wonder yuko mbaali huku wao wamebaki hawajui wafanyaje.
Sikio la kufa kabisa hili.