Sikio la kufa la wasanii wetu

Sikio la kufa la wasanii wetu

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Yaani jinsi Diamond alivyobadili mziki wa TZ ungefikiri wasanii wengine wange muiga lakini wapi. Bado wanarudia makosa yale yale na wanashangaa kwa nini hawafiki mbali. Ally kiba bado anavaa vile vile kwenye steji na kwenye video nguo zile zile anazo zurura nazo mitaani video still mbovu mbovu.

Ommy Dimpoz bado anaona sifa kuringa ringa kutoa video hadi nyimbo yake ya Tupogo inachuja sasa haina video na haoni hasara aliyopata.

Lynex nae hivyo hivyo nyimbo ya mahakama ya mapenzi hadi imechuja haina video wakati mwenzao Diamond nyimbo moja video mbili na zaidi ya million 80 katumia no wonder yuko mbaali huku wao wamebaki hawajui wafanyaje.

Sikio la kufa kabisa hili.
 
they are contented with where they are and what they have. I just think.
 
Kazi yao wivu tu diamond huyoooo hadi BET
namuombea kila laheri na kura napiga kila siku
 
Kazi yao wivu tu diamond huyoooo hadi BET
namuombea kila laheri na kura napiga kila siku

kuna video mpya ya alli kiba kasirikishwa nyimbo inaitwa uaminifu...nyimbo nzuri but alivyovaa alli kiba kwenye video aibu tupu
 
Wasanii wengi wanaupeo mdogo ama mawazo mafupi,hawaangalii mbali,na hawako tayari kuinvest millions kwenye kazi zao,diamond anafanikiwa kwa sababu ameinvest pesa,akili,mawazo and all he have kwenye mziki pasipo.kujali the return,sasa wenzetu hawa anaona bora akafanye shoping ya kijinga na kuspend pesa kwenye mambo ya kijinga kuliko kuspend kwenye mziki

Ni hayo tu kwa kweli
 
Wasanii wanatakiwa kuelewa umuhimu wa kuwa na meneja anaelijua soko la muziki hapa tz na nje.

Diamond atakuwa na maneja mzuri anaejua kazi yake vizuri.
 
Dimpoz ana video mpya imeanza kupigwa jana Mtv Base ingia Millardayo.com
 
Wasanii wanatakiwa kuelewa umuhimu wa kuwa na meneja anaelijua soko la muziki hapa tz na nje.

Diamond atakuwa na maneja mzuri anaejua kazi yake vizuri.

ishu si tu meneja ni kutumia tu akili utvaaje nguo za ovyo ovyo kwenye video yako?
 
ya nyimbo ipi?

Inaitwa NDAGUSHIMA kaifanyia UK na yule MODEL WA KIDHUNGU, Video nzuri lkn mwisho Kaharibu kajaza wahuni wenzake wa kinondoni wanadance tu, NYIMBO Yenyewe Ushuzi mtupu, auna mvuto wala Ladha , Bora NARUDI KIJIJINI YA Best Nasso..
 
ile nyimbo ya tupogo ange invest kwenye video angekuwa mbaali sasa....kachezea maisha ila hajijui...
 
kuna video mpya ya alli kiba kasirikishwa nyimbo inaitwa uaminifu...nyimbo nzuri but alivyovaa alli kiba kwenye video aibu tupu

Wasaani wanapashwa kuwa managed. Ili wao kazi yao ibaki ni muziki tu. Kila siku ni mazoezi mwanzo mwisho na kutunga. Mfano mzuri P Square. Na Platinumz si ana manager wake?
 
kuna video mpya ya alli kiba kasirikishwa nyimbo inaitwa uaminifu...nyimbo nzuri but alivyovaa alli kiba kwenye video aibu tupu

haha kavaa kwakwakwa nin?maana wakiona hamuwaangalii wanakuja kwa stail ya bikini na sendo za wakinamama loh
 
daimond nimbunifu anajua jinsi gani acheze na vionjo asiwachoshe mashabiki kwa radha ile ile nampendea hapo tu
 
jamani domo ana back up ya mtaji wa sembe, msimlinganishe na wengine
 
ishu si tu meneja ni kutumia tu akili utvaaje nguo za ovyo ovyo kwenye video yako?

Wasanii wengi hawa watumii wataalam wa mavazi .
Hata wanaoandika hizo script za video hawazingatii nn msanii avae kulingana na wimbo , fashion.

Wanaenda kuchukua nguo kwa maduka tu.

The Boss, maandalizi sio mazuri tutarajie kuona video mbaya tu.
 
Back
Top Bottom