Wewe una mamlaka gani ya kuamua kuwa rais wa nchi aliyechaguliwa na wananchi ni kibaraka. Huyu kijana alichaguliwa kwa kishindo na wala hakuwa mwanasiasa na wala hajawahi kufanya kazi serikalini au jeshini. Alikuwa commedian kwenye TV za Ukraine tu. Ukishaweka lebo ya ukibaraka, basi unakuwa siyo objective tena kwenye swala hilo.Basi tufanye rais wa Ukraine ni kibaraka wa Russia, hapo vipi?
Mkuu, kuna video hii hapa nzuri huenda ukaipenda, Russia kazikamata silaha zilizoletwa na Marekani na Uingereza nchini Ukraine
Hahahaha[emoji23]Raisi wa Ukraine ni mwanaume,mwingine angekuwa keshakimbia
Kwani Magufuli na Samia pia si walishawahi kuvaa hivi? Hizo ni kutoka maktaba. Yaani mtu alikuwa Kingwendu leo ghafla tu kawa Mabeyo.Alitaka vifaa wakaufyata afu eti ofa ya kutoroshwa? Stupid zao Bora afe akipambana sanjali na jeshi lake ambalo limekataa uasi.
Urusi kaaibika na leo kashindwa kuangusha Serikali 👇
View attachment 2131480
View attachment 2131481
View attachment 2131482
View attachment 2131483
Huyu ndie mwanaume, yuko tayari kupambana mpaka dakika ya mwisho. Kaonesha kwa vitendo kuwa anataka kupambana na ushauri wako wa kademu kukimbia uwanja wa vita.Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.
Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.
Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===
Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.
Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.
Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Hadi mwandani wake anamwambia Putin aache ushenzi 👇Kwani Magufuli na Samia pia si walishawahi kuvaa hivi? Hizo ni kutoka maktaba. Yaani mtu alikuwa Kingwendu leo ghafla tu kawa Mabeyo.
Hajui hata jinsi bunduki inavyoshikwa huyu. Hizo ni pic toka maktaba. Full propaganda.
Hata Rais wa zamani aliyempa madaraja na mshirika wa Russia kashika silaha,afu wewe unaongea upumbavu wako hapa.huyu ni comedian, kwani hata huko porini anapigana basi, amezungukwa na walinzi muda wote hata risasi harushi afu anajifanya anapigana. watamkata kichwa huyu, nampa wiki mbili haziishi. ataacha watoto wake yatima bure.
Yule ni rais lazima alindwe kwa gharama yeyote ile ujinga ni mzigo wa mavihuyu ni comedian, kwani hata huko porini anapigana basi, amezungukwa na walinzi muda wote hata risasi harushi afu anajifanya anapigana. watamkata kichwa huyu, nampa wiki mbili haziishi. ataacha watoto wake yatima bure.
Sawa.Yule ni rais lazima alindwe kwa gharama yeyote ile ujinga ni mzigo wa mavi
nilichoumia sana ni kwamba huyu rais ni Myahudi, and at the end of the day atashindwa vita, ana miaka 43 tu na atauawa aache familia. NATO na EU wanaitumia Ukraine kwa maslahi yao , na wanaoumia ni raia wa kawaida kabisa. urusi naye anaumia kwa vikwazo, na wamagaribi wanaitumia ukraine kwa maslahi yao binafsi. wangelijua wangeiacha ukraine ili dunia iishi kwa amani. hata hivyo, nafikiri wewe ndio kichwani kwako yamejaa mavi tena yanayonuka sana.Yule ni rais lazima alindwe kwa gharama yeyote ile ujinga ni mzigo wa mavi
myaudi amekubali kutanua, safi snaMaelezo yake. View attachment 2131605
usituletee mambo ya bibilia hapaBiblia inasema; Nitampiga mchungaji kondoo watatawanyikau
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.
Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.
Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===
Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.
Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.
Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Vita inaendeleaje huko?nilichoumia sana ni kwamba huyu rais ni Myahudi, and at the end of the day atashindwa vita, ana miaka 43 tu na atauawa aache familia. NATO na EU wanaitumia Ukraine kwa maslahi yao , na wanaoumia ni raia wa kawaida kabisa. urusi naye anaumia kwa vikwazo, na wamagaribi wanaitumia ukraine kwa maslahi yao binafsi. wangelijua wangeiacha ukraine ili dunia iishi kwa amani. hata hivyo, nafikiri wewe ndio kichwani kwako yamejaa mavi tena yanayonuka sana.
Vita inatangazwa rasmi kumalizika🤸Halafu wakimtorosha nchi amuachie nani?