Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Hivi nyie mnacheza na vita nini??? hamjui tu!! jinsi vita inavo uma kwanza hao ao !! walinzi wako watakumaliza faster tu ukiwa na maaumuzi ya hovyo!...sasa jamaa kakomaaa sababu ni mtoto wa warusi wenyewe!! KGB huyu!!!

Alianzisha maksudi kuwapima USA nguvu zao zikoje!!! na ikibidi NATO ife!! ...sasa akimbie nini wkt yeye ni sehemu ya majeshi ya Russia? ...nando hao hao wanamlinda na wanamkimbiza kutoka ikulu inapigwa!!

Huyu jamaa vita ikiisha kitakacho fanyika .....atapotea gahafla!!.... subirini muone!
Duh ujinga kama huu tena mnausema hadharani mnautoaga wapi?
 
Hujui kitu weee!! dogo tulia hapo Bwai kwako!! tuliosonga kwa level za kimataifa tukueleze!!..usidhani humu wote tunalingana kiakili sawa??... hivi unajua alipoenda Demona aliambiwa nini??.......well!! kwa nini yupo...hatakamatwa/au asiuawe mpaka sasa!!...unajua lengo la vita weye!!! na why?!?...sasa weye nenda kichwa kichwa pale uone mziki wake!

Unajua familia ya Baba yake alifanya kazi gani weye??......wanafunzi wa Russsia wote wanaosoma vdganio univ.. ni chuo cha nini kile!!! nyie ndo maana Makonda kawashinda kwa ujinga km huuu!...usicheze na Russia! ni km mtu asome Bagamoyo ukadhani ni mwenzako.kaa ivoivo nyau pus weee!
 
Akili yako kama ya Denis Pushilin

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi nyie mnacheza na vita nini??? hamjui tu!! jinsi vita inavo uma kwanza hao ao !! walinzi wako watakumaliza faster tu ukiwa na maaumuzi ya hovyo!...sasa jamaa kakomaaa sababu ni mtoto wa warusi wenyewe!! KGB huyu!!!

Alianzisha maksudi kuwapima USA nguvu zao zikoje!!! na ikibidi NATO ife!! ...sasa akimbie nini wkt yeye ni sehemu ya majeshi ya Russia? ...nando hao hao wanamlinda na wanamkimbiza kutoka ikulu inapigwa!!

Huyu jamaa vita ikiisha kitakacho fanyika .....atapotea gahafla!!.... subirini muone!
Huwa mnatoa wapi ujasiri wa kuandika upuuzi kama huu?
 
Haya kibaraka wa Putin wewe mleta mada huyo Putin wako kamkamata Zelensnkyy?
 
Hivi nyie mnacheza na vita nini??? hamjui tu!! jinsi vita inavo uma kwanza hao ao !! walinzi wako watakumaliza faster tu ukiwa na maaumuzi ya hovyo!...sasa jamaa kakomaaa sababu ni mtoto wa warusi wenyewe!! KGB huyu!!!

Alianzisha maksudi kuwapima USA nguvu zao zikoje!!! na ikibidi NATO ife!! ...sasa akimbie nini wkt yeye ni sehemu ya majeshi ya Russia? ...nando hao hao wanamlinda na wanamkimbiza kutoka ikulu inapigwa!!

Huyu jamaa vita ikiisha kitakacho fanyika .....atapotea gahafla!!.... subirini muone!
Hii nayo comment
 
nilichoumia sana ni kwamba huyu rais ni Myahudi, and at the end of the day atashindwa vita, ana miaka 43 tu na atauawa aache familia. NATO na EU wanaitumia Ukraine kwa maslahi yao , na wanaoumia ni raia wa kawaida kabisa. urusi naye anaumia kwa vikwazo, na wamagaribi wanaitumia ukraine kwa maslahi yao binafsi. wangelijua wangeiacha ukraine ili dunia iishi kwa amani. hata hivyo, nafikiri wewe ndio kichwani kwako yamejaa mavi tena yanayonuka sana.
Amka wewe , kumekucha acha kuota
 
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Ulitia kinyaa sana.
 
Zelensky ni shujaa na mzalendo wa Ukraine...
 
Msimamo wake ndo umesababisha karudisha sehemu ya nchi yake. Angekimbia leo hii tungekuwa twaongea mengine maana Urusi asingetosheka lazima angetaka vamia Moldova, Estonia etc
 
Back
Top Bottom