Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Duh ujinga kama huu tena mnausema hadharani mnautoaga wapi?
 
Duh ujinga kama huu tena mnausema hadharani mnautoaga wapi?
Hujui kitu weee!! dogo tulia hapo Bwai kwako!! tuliosonga kwa level za kimataifa tukueleze!!..usidhani humu wote tunalingana kiakili sawa??... hivi unajua alipoenda Demona aliambiwa nini??.......well!! kwa nini yupo...hatakamatwa/au asiuawe mpaka sasa!!...unajua lengo la vita weye!!! na why?!?...sasa weye nenda kichwa kichwa pale uone mziki wake!

Unajua familia ya Baba yake alifanya kazi gani weye??......wanafunzi wa Russsia wote wanaosoma vdganio univ.. ni chuo cha nini kile!!! nyie ndo maana Makonda kawashinda kwa ujinga km huuu!...usicheze na Russia! ni km mtu asome Bagamoyo ukadhani ni mwenzako.kaa ivoivo nyau pus weee!
 
Akili yako kama ya Denis Pushilin

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huwa mnatoa wapi ujasiri wa kuandika upuuzi kama huu?
 
Haya kibaraka wa Putin wewe mleta mada huyo Putin wako kamkamata Zelensnkyy?
 
Hii nayo comment
 
Amka wewe , kumekucha acha kuota
 
Ulitia kinyaa sana.
 
Zelensky ni shujaa na mzalendo wa Ukraine...
 
Msimamo wake ndo umesababisha karudisha sehemu ya nchi yake. Angekimbia leo hii tungekuwa twaongea mengine maana Urusi asingetosheka lazima angetaka vamia Moldova, Estonia etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…