Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

helo community how are you .its my first time to join jamii forum i dont have more to say but instruct me how to go about

Karibu sanaaa mkuu..

Sheria muhimu ni Ruhusa ya kujamba uwe na amani kabisa.. Usije kuvimbiwa.
 
Makubwa! je wale wanaongea usingizini si ndo watakesha macho 24/7 kwa kuhofia watatoboa siri...hahaha this is so funny jamani sasa ukijamba ukiwa usingizini kosa lako ni lipi? vitu kama kujamba usingizini,kukoroma,kuongea usingizini,kutembea usingizini huwezi kuvicontrol...
 
Hiyo simple tu elekeza kijambio chako chini usawa wa godoro then toka nje ya shuka kidogo unaachia mizinga yako maana godoro dizain linaabsorb smile na mambo yatakua shwari ila sasa kama umekula mayai au maharsarage hiyo kesi nyingine
 
Denoo49 mbona kamaliza kila kitu!!!!!kama hujamuelewa shauri yako pwani hapa
 
Go 2 hosptal uenda dr atakushaur,binafc nakushaur kunywa mai meng san,si kwa kiu bali kama dawa,at least 5ltrs,meza dawa za kuondoa ges,punguza kula chps au vyakula vkavu,alf utatuletea matokeo,sawa,
 
=============
Mualiko wa EID:
Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya EID nyumbani kwetu, Nakutegemea kama Rafiki wa karibu, Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho alafu chukua magari ya Pugu kajiungeni shuka mwisho wa gari halaf panda vigari vya kwenda kisarawe teremka kwa sangita, ukifika chukua bajaj mwambie akulete kwa mama davina kisha panda pikipiki mpaka Kisarawe social hall ukifika kuna baiskel mwambie akulete hadi Uwanja wa somji, ukifika angalia mbele kuna kanisa pita kichochoro mbele utaiona shule ya msingi Ndama, Nyuma ya shule ndo kwetu Karibu Ndugu yangu.
=============
 
Hiyo simple tu elekeza kijambio chako chini usawa wa godoro then toka nje ya shuka kidogo unaachia mizinga yako maana godoro dizain linaabsorb smile na mambo yatakua shwari ila sasa kama umekula mayai au maharsarage hiyo kesi nyingine

Hahahahahahaaaaaa we mtata!
 
punguza kula vyakula vng vya mchanganyko,hii atakuxaidia kutojamba jamba ovyo
 
=============
Mualiko wa EID:
Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya EID nyumbani kwetu, Nakutegemea kama Rafiki wa karibu, Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho alafu chukua magari ya Pugu kajiungeni shuka mwisho wa gari halaf panda vigari vya kwenda kisarawe teremka kwa sangita, ukifika chukua bajaj mwambie akulete kwa mama davina kisha panda pikipiki mpaka Kisarawe social hall ukifika kuna baiskel mwambie akulete hadi Uwanja wa somji, ukifika angalia mbele kuna kanisa pita kichochoro mbele utaiona shule ya msingi Ndama, Nyuma ya shule ndo kwetu Karibu Ndugu yangu.
=============
mkuu naona hukuwa na haja ya wageni, uliwapata kweli
 
mwe ushauri wingine bana kama nguvu za giza ushauri gani huo wa kujamba baso hata ukienda kujisadia utaomba upewe ushauri wa kujisaidia kwa kujinafasi
 
kujamba ni dalili ya uhai. ww achia mzigo tu.kwani haunyi?? km choo huendi, basi endelea kuogopa.
 
Acha woga, hiyo kitu nyumba nyingi zinaanzisha ligi mbona ya kuachia vitu baina ya wenza na mshindi anazawadiwa, sasa wewe wasiwsi wako nini? We viachie vitu baada ya siku tatu na yeye atakuwa anaachia vitu, baada ya wiki moja-ligi inaanza
 
wee mshamba nini mbona wazungu wakijamba wanapewa zawad na ucpojamba we co mzima
 
mkuu umenichekesha sana na ushauri wako
Hiyo simple tu elekeza
kijambio chako chini usawa wa godoro then toka nje ya shuka kidogo
unaachia mizinga yako maana godoro dizain linaabsorb smile na mambo
yatakua shwari ila sasa kama umekula mayai au maharsarage hiyo kesi
nyingine
 
Back
Top Bottom