Bob Nzingo Alexis
New Member
- Aug 8, 2013
- 4
- 0
xema kuwe na umate umate mwingi ndo kuna noga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Christineeeeeeeee!!NiPM plss umeniuliza swali tam nataka nikujibie Inbox.kwahyo hutaoa?
Ha ha haaa pole. Punguza kula utaacha.
WanaJF nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Jiachie wewe.....mimi mbona wangu huwa anafurahia sana.
Wewe lala nae tena mjifunike shuka moja, achia kitu ukimiona anatoa kichwa nje ujue hakupendi lol
Mhhh hizi savanah zenu nyie ma sister duuh noma!Demu wangu akinywa savanah anajamba kweli kweli tena yananuka mno!
Isha zoea sasa akinywa savanah najua leo hatulali ahahahaha
Mwache mwenzio apumue-kumelegeaMajembe wamewahi kutembelea kwenye kumi na nane nini?!
Mamdenyi I Miss u u know.