Siku 100 za CCM chini ya Rais Samia kwa Watanzania wa hali ya chini ambao wanategemea fadhila za watendaji wa Serikali

Mkakombinga

Member
Joined
Jul 5, 2021
Posts
29
Reaction score
96
Tumeshuhudia taarifa, michango, na report nyingi zikitolewa kuhusu siku 100 za utendaji wa mh. Rais Samiah Suluhu Hassan.

Sijasikia popote yakielezwa mapungufu ktk siku hizo 100 zaidi ya pongezi nyingi zilizotolewa.

Mimi naweka bandiko hili hapa kuonyesha mapungufu ndani ya siku 100 za mama pamoja nakutoa ushauri km alivyoelekeza.
1. Napongeza pia ktk kuiendeleza miradi yote yakimkakati. 100%
2.utawala wa kisheria kurejea na mengine mengi yaliyotajwa na watanzania ambayo siwezi kuyataja yte hapa.

MAPUNGUFU
1.Ndani ya siku 100 za mama upigaji madiri kwa watendaji wa serikali umekuwa wa kasi kubwa, kuna baadhi ya halmashauri zimehusika kiufisadi baraa.

2. Uteuzi wa ma Dc, nao nadhani hawakufanya kuwachunguza, km walifanya basi waliofanya nao wamehusika kupiga dili ktk zoezi hilo ndani ya siku 100 kwani kuna ma Dc walistahili wawe mahakamani mpaka sasa badara ya sabaya kutolewa km sadaka.

3.huduma ktk maofisi ya umma rushwa imerejea kwa kiwango cha 4G tena zinaombwa bila woga utadhani takukuru haipo tena tunajiuliza walimtoa mbungo ili watu wapige? Au ilikuwa kuboresha.

4.Ndani ya siku 100% ndani ya ccm saivi kila mtu anaropoka lake, nakibaya zaidi wanaporopoka wanapewa vyeo, mfano yule Dc wa pale kati, alipochafua khari ya hewa kapewa u-D..c hata huyu Dialloo nae tutalajie kupewa cheo , hayo nayo nimapungufu hawa walistahili waachwe km walivyoachwa akina naape na maakamba au ilikuwa mikakati?

5. Ujambazi ulikuja kwa kasi ila IGP naona alishtuka akawafyekelea mbali japo mauaji yanazidi kila leo.

Ndani ya siku 100 za mama naiona ccm ya mama ikiupiga mwingi sana japo nahisi kuna kamtandao kawapigaji.

USHAURI.
Nashauri yafuatayo....fatilieni rushwa ktk taasisi za serikali zimekuwa kero sana.
Lakini pia hawa waropokaji muwashughulikie km ilivyokuwa hapo awali.

Jingine hao ma Dc mlio wahamisha wachunguzeni, kwani baadhi yao huko walikotoka wametengeneza magenge ya upigaji baraa msipofanya hivyo watapokezana vijiti, nahata wakurugenzi mliowapandisha vyeo kuwa ma Dc , nao wachunguzeni.

Ma RC mliowahamisha nao hivyo hivyo mwisho wa siku mjipambanue badara ya watu kusema jpm alisema watamkumbuka, mm siamini hilo kwani hata mm anaweza, nakama aliweza kwa chalamila hta kwa Diallooo ataweza.

BILA CCM IMARA HATUWEZI KUWA NA SERIKALI IMARA.
 
Unahangaika sana wewe jamaa sijui ni kuganga njaa au hasira za kunyimwa uteuzi.Huko mtaani unaishi peke yako?
 
Yaani seeikali moja, chama kimoja , ndo mnarushiana makombora hadharani hivi? Duh.... mzimu wa jpm naona umeanza kuwala
 
Tumeshuhudia taarifa, michango, na report nyingi zikitolewa kuhusu siku 100 za utendaji wa mh. Rais Samiah Suluhu Hassan.

Sijasikia popote yakielezwa mapungufu ktk siku hizo 100 zaidi ya pongezi nyingi zilizotolewa.

Mimi naweka bandiko hili hapa kuonyesha mapungufu ndani ya siku 100 za mama pamoja nakutoa ushauri km alivyoelekeza.
1. Napongeza pia ktk kuiendeleza miradi yote yakimkakati. 100%
2.utawala wa kisheria kurejea na mengine mengi yaliyotajwa na watanzania ambayo siwezi kuyataja yte hapa.

MAPUNGUFU
1.Ndani ya siku 100 za mama upigaji madiri kwa watendaji wa serikali umekuwa wa kasi kubwa, kuna baadhi ya halmashauri zimehusika kiufisadi baraa.

2. Uteuzi wa ma Dc, nao nadhani hawakufanya kuwachunguza, km walifanya basi waliofanya nao wamehusika kupiga dili ktk zoezi hilo ndani ya siku 100 kwani kuna ma Dc walistahili wawe mahakamani mpaka sasa badara ya sabaya kutolewa km sadaka.

3.huduma ktk maofisi ya umma rushwa imerejea kwa kiwango cha 4G tena zinaombwa bila woga utadhani takukuru haipo tena tunajiuliza walimtoa mbungo ili watu wapige? Au ilikuwa kuboresha.

4.Ndani ya siku 100% ndani ya ccm saivi kila mtu anaropoka lake, nakibaya zaidi wanaporopoka wanapewa vyeo, mfano yule Dc wa pale kati, alipochafua khari ya hewa kapewa u-D..c hata huyu Dialloo nae tutalajie kupewa cheo , hayo nayo nimapungufu hawa walistahili waachwe km walivyoachwa akina naape na maakamba au ilikuwa mikakati?

5. Ujambazi ulikuja kwa kasi ila IGP naona alishtuka akawafyekelea mbali japo mauaji yanazidi kila leo.

Ndani ya siku 100 za mama naiona ccm ya mama ikiupiga mwingi sana japo nahisi kuna kamtandao kawapigaji.

USHAURI.
Nashauri yafuatayo....fatilieni rushwa ktk taasisi za serikali zimekuwa kero sana.
Lakini pia hawa waropokaji muwashughulikie km ilivyokuwa hapo awali.

Jingine hao ma Dc mlio wahamisha wachunguzeni, kwani baadhi yao huko walikotoka wametengeneza magenge ya upigaji baraa msipofanya hivyo watapokezana vijiti, nahata wakurugenzi mliowapandisha vyeo kuwa ma Dc , nao wachunguzeni.

Ma RC mliowahamisha nao hivyo hivyo mwisho wa siku mjipambanue badara ya watu kusema jpm alisema watamkumbuka, mm siamini hilo kwani hata mm anaweza, nakama aliweza kwa chalamila hta kwa Diallooo ataweza.

BILA CCM IMARA HATUWEZI KUWA NA SERIKALI IMARA.
Eti ni kweli watani zangu Wachaga ndiyo hupenda kuvuta majina wanapo yatamka? Naape! Maakamba! Diallooo! Annaa! Jumaa! Awesoo!
 
Back
Top Bottom