Siku 100 za mafanikio tele ya Rais Samia. Kazi iendelee!

Siku 100 za mafanikio tele ya Rais Samia. Kazi iendelee!

Kwa vile ww hayakukuta mkuu..
Watumishi wale wana haki ya kulipwa..
Walilitumikia taifa.
ahadi yako kwa mama halitakiwi kuegemea nguzo dhaifu namna hiyo.

kwamba asipowalipa umemwacha,akiwalipa uko naye!!!

utaungana na wanaotafuta katiba mpya au wewe na wa vyeti feki tu??
 
Kuwa Makamu Mwenyekiti haukuwa Usukani? Hebu tuache kutiana ujinga basi. Mwalimu Nyerere hata baada ya kustaafu Uongozi wa Nchi na Chama baadaye aliendelea kupanga na kuathiri Siasa za Nchi hii. Je, alikuwa na Usukani gani?
Kwahiyo unataka tusimuombe Katiba Mpya?
 
endeleeni kumwimbia,inaonekana anapenda mfurahi muda wote labda atasikia.lakini hoja sio katiba mpya.

ila ile ambayo ni maoni ya wananchi inayowafaa wengi.

mnawezapewa mpya kama mnavyotaka,halafu isije na raha zenu.
Kwahiyo wewe ndio msemaji wa RaisiSamia Suluhu?
 
hata nikikwambia ndio,huwezi amini.

tuendelee kujadili kilichopoa hapa.
Mimi nimemuomba Raisi Samia Suluhu Katiba Mpya na Tume HURU wewe unanijibu wewe ndio Samia Suluhu?
 
Mimi nimemuomba Raisi Samia Suluhu Katiba Mpya na Tume HURU wewe unanijibu wewe ndio Samia Suluhu?
rais samia anatumia jina gani humu!!!

kwamba akikujibu yeye utafurahi na kwenda kuoga.
 
Back
Top Bottom