ahadi yako kwa mama halitakiwi kuegemea nguzo dhaifu namna hiyo.Kwa vile ww hayakukuta mkuu..
Watumishi wale wana haki ya kulipwa..
Walilitumikia taifa.
Kwahiyo unataka tusimuombe Katiba Mpya?Kuwa Makamu Mwenyekiti haukuwa Usukani? Hebu tuache kutiana ujinga basi. Mwalimu Nyerere hata baada ya kustaafu Uongozi wa Nchi na Chama baadaye aliendelea kupanga na kuathiri Siasa za Nchi hii. Je, alikuwa na Usukani gani?
unadhani hajui kama inahitajika!!!Kwahiyo unataka tusimuombe Katiba Mpya?
Kwahiyo wewe ndio msemaji wa RaisiSamia Suluhu?endeleeni kumwimbia,inaonekana anapenda mfurahi muda wote labda atasikia.lakini hoja sio katiba mpya.
ila ile ambayo ni maoni ya wananchi inayowafaa wengi.
mnawezapewa mpya kama mnavyotaka,halafu isije na raha zenu.
hata nikikwambia ndio,huwezi amini.Kwahiyo wewe ndio msemaji wa RaisiSamia Suluhu?
Mimi nimemuomba Raisi Samia Suluhu Katiba Mpya na Tume HURU wewe unanijibu wewe ndio Samia Suluhu?hata nikikwambia ndio,huwezi amini.
tuendelee kujadili kilichopoa hapa.
rais samia anatumia jina gani humu!!!Mimi nimemuomba Raisi Samia Suluhu Katiba Mpya na Tume HURU wewe unanijibu wewe ndio Samia Suluhu?
Sikia Ndugu, hunijui sikujui, usinitafutie Ban.rais samia anatumia jina gani humu!!!
kwamba akikujibu yeye utafurahi na kwenda kuoga.
ukipigwa ban kiherehere chako,mimi nimealika mods hapa!!!Sikia,Ndugu hunijui sikujui, usinitafutie Ban.
Wewe ndio kiherehere,mimi namuomba Raisi Samia Suluhu wewe ,unaninukuu sasa nakuuliza wewe ni Samia?ukipigwa ban kiherehere
aliyekwambia samia yupo humu nani!!!Wewe ndio kiherehere,mimi namuomba Raisi Samia Suluhu wewe ,unaninukuu sasa nakuuliza wewe ni Samia?
Wewe ni Msemaji wake?aliyekwambia samia yupo humu nani!!!
hayupo hata msemaji wake humu.Wewe ni Msemaji wake?
Jali yako ndugu, usiniharibie usiku wangu please.hayupo hata msemaji wake humu.
uko weak sana ndugu,sijui una pressure ama sukari sijui!!!Jali yako ndugu, usiniharibie usiku wangu please.
Usinitafutie Ban Ndugu.uko weak sana ndugu,sijui una pressure ama sukari sijui!!!
mbona ukichwapa ban poa tu!!!au nikujaze upepo zaidi[emoji16][emoji16].Usinitafutie Ban Ndugu.
Umemsahau Magu sioo!!!??Kama anaamini walionewa Ni Kwa nini hakutoka kuwalipa wakati huo? Kwa hiyo, tuamini Makamu wa Raisi sio Raisi? Mbona hakuwahi kusikika kuwatetea?
Kwamba angemfanyaje? Angemng'oa koromeo?Umemsahau Magu sioo!!!??
Ohoo.. Pigia mstariKwamba angemfanyaje? Angemng'oa koromeo?