Siku 100 zinakaribia huku Drs Nchimbi na Mwigulu wanapaa sio poa

Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles
Tangibles kwa vigezo vyako ni zipi?.. halafu siku mia zinaanza na kuisha lini?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles, blah blah Tu.
Kwani zimefika ngapi?
Anyway acha zikate tu, Bi Kidawa anawaza hata akitindinganya hana cha kupoteza!
 
Si ungejibu tu swali langu
Hujui sera zenu ndani ya siku100? Wewe ndio ulitakiwa uzijue vizuri hizo tangible mlizoahidi. Kumbe siku zote unapiga blablah hapa halafu hujui unapigania nini?
 
Sema siku mia ni zipi,na tangibles za mtoa ni zipi,acha kuruka ruka kama unakwepa kutolewa bikira
 
Kwa akili zipi kuweza kudeliver siku 100, ni upumbavu tu wanaongea kuiga marekani.
 
Kuna yule motivesheno spika kateuliwa kuwa waziri wa vijana. Anazulula mikoani kwa kigezo cha kuwasikiliza vijana mpaka unashangaa kwamba Samia alizunguka nchi nzima kufanya kampeni akiwa hajui mahitaji ya vijana? Ilani ya chama wakati inaandaliwa vijana walisahaulika kiasi kwamba inalazimu waziri azunguke mikoani kuwasikiliza? Watendaji wa chini wa waziri kama mwenyekiti wa mtaa, madiwani, watumishi wa halmashauri n.k kazi yao nini ikiwa waziri analazimika kwenda vijiweni kuongea na vijana
 
Fanya kazi tafuta kipato chako hizo siku 100 ni za serikali siyo za familia Yako.
After all: hakuna sehemu imeandikwa siku 100 kwenye katiba ya nchi. Sisi tunaona yanayofanyika lakini wewe kwasababu kisukari kinakusumbua huwezi kuona.

Utasubiri siku 100 zingine za 2030 kwa chuma kingine cha CCM
 
Tangibles kwa vigezo vyako ni zipi?.. halafu siku mia zinaanza na kuisha lini?
Siku 100 hazipo kwenye katiba ya nchi.
Wewe jua tu kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mpaka 2030, baada ya hapo tunaleta chuma kingine cha CCM 2030 -2040. Nyny endeleeni kutokana watu na kuhatarisha amani ya Tanzania yetu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna yule motivesheno spika kateuliwa kuwa waziri wa vijana. Anazulula mikoani kwa kigezo cha kuwasikiliza vijana mpaka unashangaa kwamba Samia alizunguka nchi nzima kufanya kampeni akiwa hajui mahitaji ya vijana? Ilani ya chama wakati inaandaliwa vijana walisahaulika kiasi kwamba inalazimu waziri azunguke mikoani kuwasikiliza? Watendaji wa chini wa waziri kama mwenyekiti wa mtaa, madiwani, watumishi wa halmashauri n.k kazi yao nini ikiwa waziri analazimika kwenda vijiweni kuongea na vijana

Nyie ambao mnajifanya hamuelewi the system of this country ndo mnakosea sana
 
Motivesheni spika Nasikia walimrushia jiwe na ziara zikakata pale pale
 
Fanya kazi tafuta kipato chako hizo siku 100 ni za serikali siyo za familia Yako.
After all: hakuna sehemu imeandikwa siku 100 kwenye katiba ya nchi. Sisi tunaona yanayofanyika lakini wewe kwasababu kisukari kinakusumbua huwezi kuona.

Utasubiri siku 100 zingine za 2030 kwa chuma kingine cha CCM
Mabusha lazima yawachuke,hakuna cha Mama wala mama yao kila kitu kwisha majigambo mbele ya maisha magumu atakuelewa nani?
 
Nyie ambao mnajifanya hamuelewi the system of this country ndo mnakosea sana
Kama hiyo system of this country ineshindwa kutuwezesha kuwa hata maji ya uhakika kwa miaka 64 ya uhuru, then the so called "system of this country" it's totally bullshit and i can't even waste my time to know it.
 
JAY Z KATIKA KITABU CHAKE KAELEZEA KUHUSU JAMBO .

KUWA MTU AMBAYE ALISHAKUKATAA KITAMBO NA KUKUSABABISHIA UDHAIFU NA UDUNI WA KIMAISHA

IWEJE TENA UTEGEMEE AKUWEKEE MAMBO SAWA WITHIN 100 DAYS

KAMA MIMI MTU SMART AND INTELLIGENT , LAZIMA NIANGALIA HOW I GONNA FIGURE OUT MY SHIT

NDO Maana IS VERY RARE KUNIKUTA NALALAMIKA ABOUT THE GOVERNMENT , I KNOW THE PATTERNS &SYSTEMS KWAMBA THE ODDS ARE AGAINST ME.

BUT A LOT OF MOTHERFUCKERS UTAKUTA WANAKAAA NA KUAMINI WATATAPATA SOME SHIT NDANI YA 100 DAY !!! NIGGER THIS IS OLD HOUSE.

HATA INGEKUWA MIAKA 5

So badala ya kulalamika hamna Maji jengeni visima vyenu wenyewe mbona misikiti kibao wamejenga visima
 
Back
Top Bottom