connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Tangibles kwa vigezo vyako ni zipi?.. halafu siku mia zinaanza na kuisha lini?Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles
Kwani zimefika ngapi?Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles, blah blah Tu.
Kichwa chako chepesi kama Cha panzi, itakuwa ubongo umedondoka hahahaTangibles kwa vigezo vyako ni zipi?.. halafu siku mia zinaanza na kuisha lini?
Si ungejibu tu swali languKichwa chako chepesi kama Cha panzi, itakuwa ubongo umedondoka hahaha
Hujui sera zenu ndani ya siku100? Wewe ndio ulitakiwa uzijue vizuri hizo tangible mlizoahidi. Kumbe siku zote unapiga blablah hapa halafu hujui unapigania nini?Si ungejibu tu swali langu
Sema siku mia ni zipi,na tangibles za mtoa ni zipi,acha kuruka ruka kama unakwepa kutolewa bikiraHujui sera zenu ndani ya siku100? Wewe ndio ulitakiwa uzijue vizuri hizo tangible mlizoahidi. Kumbe siku zote unapiga blablah hapa halafu hujui unapigania nini?
Siku 100 hazipo kwenye katiba ya nchi.Tangibles kwa vigezo vyako ni zipi?.. halafu siku mia zinaanza na kuisha lini?
Kuna yule motivesheno spika kateuliwa kuwa waziri wa vijana. Anazulula mikoani kwa kigezo cha kuwasikiliza vijana mpaka unashangaa kwamba Samia alizunguka nchi nzima kufanya kampeni akiwa hajui mahitaji ya vijana? Ilani ya chama wakati inaandaliwa vijana walisahaulika kiasi kwamba inalazimu waziri azunguke mikoani kuwasikiliza? Watendaji wa chini wa waziri kama mwenyekiti wa mtaa, madiwani, watumishi wa halmashauri n.k kazi yao nini ikiwa waziri analazimika kwenda vijiweni kuongea na vijana
Motivesheni spika Nasikia walimrushia jiwe na ziara zikakata pale paleKuna yule motivesheno spika kateuliwa kuwa waziri wa vijana. Anazulula mikoani kwa kigezo cha kuwasikiliza vijana mpaka unashangaa kwamba Samia alizunguka nchi nzima kufanya kampeni akiwa hajui mahitaji ya vijana? Ilani ya chama wakati inaandaliwa vijana walisahaulika kiasi kwamba inalazimu waziri azunguke mikoani kuwasikiliza? Watendaji wa chini wa waziri kama mwenyekiti wa mtaa, madiwani, watumishi wa halmashauri n.k kazi yao nini ikiwa waziri analazimika kwenda vijiweni kuongea na vijana
Mabusha lazima yawachuke,hakuna cha Mama wala mama yao kila kitu kwisha majigambo mbele ya maisha magumu atakuelewa nani?Fanya kazi tafuta kipato chako hizo siku 100 ni za serikali siyo za familia Yako.
After all: hakuna sehemu imeandikwa siku 100 kwenye katiba ya nchi. Sisi tunaona yanayofanyika lakini wewe kwasababu kisukari kinakusumbua huwezi kuona.
Utasubiri siku 100 zingine za 2030 kwa chuma kingine cha CCM
Kama hiyo system of this country ineshindwa kutuwezesha kuwa hata maji ya uhakika kwa miaka 64 ya uhuru, then the so called "system of this country" it's totally bullshit and i can't even waste my time to know it.Nyie ambao mnajifanya hamuelewi the system of this country ndo mnakosea sana
Kama hiyo system of this country ineshindwa kutuwezesha kuwa hata maji ya uhakika kwa miaka 64 ya uhuru, then the so called "system of this country" it's totally bullshit and i can't even waste my time to know it.