Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles, blah blah Tu.
hakusema siku 100 kuanzia lini, labda anamaanisha siku 100 baada ya uongozi wake kuishaDr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles, blah blah Tu.
Kwani aliyeahidi kwa kutumia siku 100 hakujua kuwa ni chache, atekeleze tu, vingine wananchi wataendelea kuona kuwavni kawaida ya wanasiasa (CCM)kuendelea kufanya udanganyifu na Hadaa!SIKU 100 NI CHACHE KUFANYA YOTE HAYO MKUU, KUMBUKA NI KAMA TUNAANZA UPYA
Wakati wananchi wanasema changamoto zao. Wanawahoji wanasiasa kuhusu ahadi zao haimaanishi kwamba wapo majumbani mwao wamelala tu.JAY Z KATIKA KITABU CHAKE KAELEZEA KUHUSU JAMBO .
KUWA MTU AMBAYE ALISHAKUKATAA KITAMBO NA KUKUSABABISHIA UDHAIFU NA UDUNI WA KIMAISHA
IWEJE TENA UTEGEMEE AKUWEKEE MAMBO SAWA WITHIN 100 DAYS
KAMA MIMI MTU SMART AND INTELLIGENT , LAZIMA NIANGALIA HOW I GONNA FIGURE OUT MY SHIT
NDO Maana IS VERY RARE KUNIKUTA NALALAMIKA ABOUT THE GOVERNMENT , I KNOW THE PATTERNS &SYSTEMS KWAMBA THE ODDS ARE AGAINST ME.
BUT A LOT OF MOTHERFUCKERS UTAKUTA WANAKAAA NA KUAMINI WATATAPATA SOME SHIT NDANI YA 100 DAY !!! NIGGER THIS IS OLD HOUSE.
HATA INGEKUWA MIAKA 5
So badala ya kulalamika hamna Maji jengeni visima vyenu wenyewe mbona misikiti kibao wamejenga visima
Wakati wananchi wanasema changamoto zao. Wanawahoji wanasiasa kuhusu ahadi zao haimaanishi kwamba wapo majumbani mwao wamelala tu.
Nenda kariakoo utaona utitiri wa watu wanafanya biashara, pitia vituo vya mwendokasi asubuhi utaona utitiri wa watu wanasubiri usafiri kuwai makazini.
Tuondoe hii kasumba ya kusfikiri wananchi wakisema kero zao tafsiri yake ni kwamba hawafanyi kazi. Kazi ya serikali ni nini kama haiwajibiki kuondoa changamoto za wananchi?
Kuna shida ya maji tutaambiwa tuchimbe visima, shida ya ajira tutaambiwa tujiajiri, kuna tatizo jipya la utekaji na hatuoni serikali ikichukua hatua hii maana yake wananchi tujilinde wenyewe. Kesho na kesho kutwa itakuja changamoto ya umeme tutaambiwa tununue majenereta. Sasa serikali ipo kwa ajiri ya kazi gani
Haiwezekani kuoindoa serikali moja kwa moja maana ndio inatunga sera,Sifikirii Kama umenielewa mkuu
Yaani hauwezi kupata MAJIBU YA MATATIZO YAKO EFFECTIVELY
KWA SYSTEM HII ,
MFUMO HAURUSUHUSU YOU EITHER U BEAT SYSTEMS AU UWE BEATEN NA SYSTEM.
KWAHIYO SIMAANISHI AJIRA N.K I SPEAK KUWA SISI WANANCHI TUANGALIE NJIA SAHIHI ZA KUWEKA MAMBO YETU VIZURI WENYEWE .
NAWEZA NISIELEWEKE ILA IT IS BETTER TO IDENTIFY UR LIFE WITH THE TRUTH
BAD PEOPLE NEVER DO CHANGE.
Hawa mbwa ni kuwaporomoshea mawe tuuMotivesheni spika Nasikia walimrushia jiwe na ziara zikakata pale pale
Wapo kama kuku anayeyafuta eneo la kutagia,hawana Goals,objectives wala targets.Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles, blah blah Tu.
Hivi CCM ni chama cha siasa au ni Genge la washika bunduki waliovalia mavazi ya kijani na kujificha kwenye mwamvuli wa siasa??Fanya kazi tafuta kipato chako hizo siku 100 ni za serikali siyo za familia Yako.
After all: hakuna sehemu imeandikwa siku 100 kwenye katiba ya nchi. Sisi tunaona yanayofanyika lakini wewe kwasababu kisukari kinakusumbua huwezi kuona.
Utasubiri siku 100 zingine za 2030 kwa chuma kingine cha CCM
Nimeupenda upole Isabella.Si ungejibu tu swali langu