PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Wasalaam,
Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali wakiwa nyakabindi mkoani Simiyu.
Leo Ni siku ya ambayo T.A.L atachukua form ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA pale ofisi za NEC DODOMA. Pamoja na hayo, nataka kuwakumbusha utofauti wa siku 13 za TL nchini na kuzifananisha na zile za ujio wa Lowasa enzi zilee[emoji41][emoji41], Kama mtakumbuka
- Tangu TL aingie nchini, wanaharakati nguli na viongozi wakereketwa na waandamizi wa Magufuri wameu mute kimyaa[emoji112]
- Nchi yote inahofu Nini kitaenda kutokea endapo TL atapewa atapewa form ili agombee uraisi
- Hakuna mgogolo ndani ya chama Cha CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Rais
- Vyombo vya habari vimempa kisogo TL vile vya ndani, haviwezi hata kwenda kwake kumuulizie kuhusu afya yake na mipango yake lakini TL amekuwa maalufu mpaka wapinzani wake wanaogopa
- Kampeni za TUMETEKELEZA hazifuatiliwi kabisa na wenye tv na zimekosa mvuto
- Ari ya vijana kupiga kura imerudi tofauti na awali walivyo kuwa wakisema kupiga kura Ni kupoteza muda wako.
Leo Ni leo, asemae kesho Ni muoga
#NIYEYE2020