Uchaguzi 2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania

Kumuachia TL na wafuasi wa CDM waandamane wanavyotaka mpaka wakachoka, siku amerudi, ilivunja kila plan ya kutaka kupata global sympathy
 
Dawa yao DStv tu kucheck Bbc sky news na cnn

Uku mpira na movie.
 
Wew jane unajitambua.unayoaje comment ya disqualify mtu bila ushahidi wa unayoaamini. Unanimis kitu week end hii.
 
Wasalaam,

Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali wakiwa nyakabindi mkoani Simiyu.

Leo Ni siku ya ambayo T.A.L atachukua form ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA pale ofisi za NEC DODOMA. Pamoja na hayo, nataka kuwakumbusha utofauti wa siku 13 za TL nchini na kuzifananisha na zile za ujio wa Lowasa enzi zilee[emoji41][emoji41], Kama mtakumbuka

- Tangu TL aingie nchini, wanaharakati nguli na viongozi wakereketwa na waandamizi wa Magufuri wameu mute kimyaa[emoji112]

- Nchi yote inahofu Nini kitaenda kutokea endapo TL atapewa atapewa form ili agombee uraisi

- Hakuna mgogolo ndani ya chama Cha CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Rais

- Vyombo vya habari vimempa kisogo TL vile vya ndani, haviwezi hata kwenda kwake kumuulizie kuhusu afya yake na mipango yake lakini TL amekuwa maalufu mpaka wapinzani wake wanaogopa

- Kampeni za TUMETEKELEZA hazifuatiliwi kabisa na wenye tv na zimekosa mvuto

- Ari ya vijana kupiga kura imerudi tofauti na awali walivyo kuwa wakisema kupiga kura Ni kupoteza muda wako.

Leo Ni leo, asemae kesho Ni muoga
#NIYEYE2020
Vijana hao ni wale wengi walevi,wabwiya unga na wavuta bangi.Kazi yao kubwa ushabiki na kumjaza ujinga mgombea ,hawajui hata pa kujiandikisha kupiga kura ni wapi.
 
Mwenye kujua naomba anisaidie hivi nawezaje kuondoa au kufuta chanel zote za ndani kwenye kingamuzi changu?
Kwangu nilishafuta Tbc channel 10 Eat ☆tv Itv ndo naendelea kujaribu kuifuta.Kwangu nimebakiza Utv upendo
 
Huu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?

Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
Hatuli masanduku sisi.Wewe naona unayabugia.Akili ndogo haina hekima wala maarifa.Kufikiri kwake ni kudogo mno.
 
Huu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?

Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
Mdanganyeni Mwenyekiti wenu The Hague itamuhusu..kwenda jela uzeeni choo kweli 😂
 
Back
Top Bottom