Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ni yeye ✌️[emoji110]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yeye ✌️[emoji110]
Huu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?
Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
Hata maboutu alikuwepo na wafuasiAisee kuna mafala hapa duniani sijawahi ona.
Si tuko na jembe JPM
This is major point.....Hakuna mgogoro ndani ya CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Raisi[emoji1548][emoji1534][emoji1548][emoji1534][emoji1548][emoji770][emoji817][emoji770][emoji817]Wasalaam,
Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali wakiwa nyakabindi mkoani Simiyu. Leo Ni siku ya ambayo T.A.L atachukua form ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA pale ofisi za NEC DODOMA. Pamoja na hayo, nataka kuwakumbusha utofauti wa siku 13 za TL nchini na kuzifananisha na zile za ujio wa Lowasa enzi zilee[emoji41][emoji41], Kama mtakumbuka
- Tangu TL aingie nchini, wanaharakati nguli na viongozi wakereketwa na waandamizi wa Magufuri wameu mute kimyaa[emoji112]
- Nchi yote inahofu Nini kitaenda kutokea endapo TL atapewa atapewa form ili agombee uraisi
- Hakuna mgogolo ndani ya chama Cha CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Raisi
- Vyombo vya habari vimempa kisogo TL vile vya ndani, haviwezi hata kwenda kwake kumuulizie kuhusu afya yake na mipango yake lakini TL amekuwa maalufu mpaka wapinzani wake wanaogopa
- Kampeni za TUMETEKELEZA hazifuatiliwi kabisa na wenye tv na zimekosa mvuto
- Ari ya vijana kupiga kura imerudi tofauti na awali walivyo kuwa wakisema kupiga kura Ni kupoteza muda wako.
Leo Ni leo, asemae kesho Ni muoga
#NIYEYE2020
Wewe unajitambua kumzidi ndio maana na wewe unagopmbea uraisLissu ni mtu asiyejitambua
Chadem Hua mmachekesha Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasalaam,
Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali wakiwa nyakabindi mkoani Simiyu. Leo Ni siku ya ambayo T.A.L atachukua form ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA pale ofisi za NEC DODOMA. Pamoja na hayo, nataka kuwakumbusha utofauti wa siku 13 za TL nchini na kuzifananisha na zile za ujio wa Lowasa enzi zilee[emoji41][emoji41], Kama mtakumbuka
- Tangu TL aingie nchini, wanaharakati nguli na viongozi wakereketwa na waandamizi wa Magufuri wameu mute kimyaa[emoji112]
- Nchi yote inahofu Nini kitaenda kutokea endapo TL atapewa atapewa form ili agombee uraisi
- Hakuna mgogolo ndani ya chama Cha CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Raisi
- Vyombo vya habari vimempa kisogo TL vile vya ndani, haviwezi hata kwenda kwake kumuulizie kuhusu afya yake na mipango yake lakini TL amekuwa maalufu mpaka wapinzani wake wanaogopa
- Kampeni za TUMETEKELEZA hazifuatiliwi kabisa na wenye tv na zimekosa mvuto
- Ari ya vijana kupiga kura imerudi tofauti na awali walivyo kuwa wakisema kupiga kura Ni kupoteza muda wako.
Leo Ni leo, asemae kesho Ni muoga
#NIYEYE2020
Unadhihirisha ufala wakoAisee kuna mafala hapa duniani sijawahi ona.
Si tuko na jembe JPM
Lissu ni mtu asiyejitambua
Hilo jembe limepiga kutu,ni butu kulinganisha na trekta letu TAL almaarufu VALMENTAisee kuna mafala hapa duniani sijawahi ona.
Si tuko na jembe JPM
Pimbi kweli wewe,kazi yako kulamba makalio ya basha wako tu,huna hojaHuu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?
Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
Mwenye kujua naomba anisaidie hivi nawezaje kuondoa au kufuta chanel zote za ndani kwenye kingamuzi changu?
Huu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?
Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
Jibu bora la mwaka.Wewe unajitambua kumzidi ndio maana na wewe unagopmbea urais
Wakati wa Lowasa walihitokeza wanalumumba wengi kila mtu kujifanya msemaje. Akina Lusinde, Alina Msukuma, akina Makonda, akina Mwandosya, akina Malecela woote waliibuka kutoa matamko. Lkini now wamejua mto ni wa tofauti.Wasalaam,
Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali wakiwa nyakabindi mkoani Simiyu.
Leo Ni siku ya ambayo T.A.L atachukua form ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA pale ofisi za NEC DODOMA. Pamoja na hayo, nataka kuwakumbusha utofauti wa siku 13 za TL nchini na kuzifananisha na zile za ujio wa Lowasa enzi zilee[emoji41][emoji41], Kama mtakumbuka
- Tangu TL aingie nchini, wanaharakati nguli na viongozi wakereketwa na waandamizi wa Magufuri wameu mute kimyaa[emoji112]
- Nchi yote inahofu Nini kitaenda kutokea endapo TL atapewa atapewa form ili agombee uraisi
- Hakuna mgogolo ndani ya chama Cha CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Rais
- Vyombo vya habari vimempa kisogo TL vile vya ndani, haviwezi hata kwenda kwake kumuulizie kuhusu afya yake na mipango yake lakini TL amekuwa maalufu mpaka wapinzani wake wanaogopa
- Kampeni za TUMETEKELEZA hazifuatiliwi kabisa na wenye tv na zimekosa mvuto
- Ari ya vijana kupiga kura imerudi tofauti na awali walivyo kuwa wakisema kupiga kura Ni kupoteza muda wako.
Leo Ni leo, asemae kesho Ni muoga
#NIYEYE2020
Taratibu NDUGU Mbona umepaniki?Huu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?
Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
CCM wajiandae kukabidhi nchi kwa CDM.Wasalaam,
Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali wakiwa nyakabindi mkoani Simiyu.
Leo Ni siku ya ambayo T.A.L atachukua form ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA pale ofisi za NEC DODOMA. Pamoja na hayo, nataka kuwakumbusha utofauti wa siku 13 za TL nchini na kuzifananisha na zile za ujio wa Lowasa enzi zilee[emoji41][emoji41], Kama mtakumbuka
- Tangu TL aingie nchini, wanaharakati nguli na viongozi wakereketwa na waandamizi wa Magufuri wameu mute kimyaa[emoji112]
- Nchi yote inahofu Nini kitaenda kutokea endapo TL atapewa atapewa form ili agombee uraisi
- Hakuna mgogolo ndani ya chama Cha CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Rais
- Vyombo vya habari vimempa kisogo TL vile vya ndani, haviwezi hata kwenda kwake kumuulizie kuhusu afya yake na mipango yake lakini TL amekuwa maalufu mpaka wapinzani wake wanaogopa
- Kampeni za TUMETEKELEZA hazifuatiliwi kabisa na wenye tv na zimekosa mvuto
- Ari ya vijana kupiga kura imerudi tofauti na awali walivyo kuwa wakisema kupiga kura Ni kupoteza muda wako.
Leo Ni leo, asemae kesho Ni muoga
#NIYEYE2020
Tunajua Raisi atakuwa Tundu Antipas Lissu. Na Hii ni mpende au msipende!
Huo ndo ukweli wenyewe. Lissu ni raisi wa Tanzania coming October 2020. Najua hupendi ila ndo uhalisia. Hakuna chochote ambacho Lowassa amemshinda Lissu!Haya, kama anakuwa rais kwa wewe kulazimisha haya atakuwa rais
Ndio nyie mnaongezq idadi ya wajinga nchini kwenye kila tafiti
Be genuine, hakuwa EL awe huyu?
Huo ndo ukweli wenyewe. Lissu ni raisi wa Tanzania coming October 2020. Najua hupendi ila ndo uhalisia. Hakuna chochote ambacho Lowassa amemshinda Lissu!