Delete 11356h45000 kwenye azam zitafutika startime ziblock na pass as well as tbcMwenye kujua naomba anisaidie hivi nawezaje kuondoa au kufuta chanel zote za ndani kwenye kingamuzi changu?
Mbona mnafoka Sana?Huu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?
Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
Wasalaam,
Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali wakiwa nyakabindi mkoani Simiyu. Leo Ni siku ya ambayo T.A.L atachukua form ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA pale ofisi za NEC DODOMA. Pamoja na hayo, nataka kuwakumbusha utofauti wa siku 13 za TL nchini na kuzifananisha na zile za ujio wa Lowasa enzi zilee😎😎, Kama mtakumbuka
- Tangu TL aingie nchini, wanaharakati nguli na viongozi wakereketwa na waandamizi wa Magufuri wameu mute kimyaa👋
- Nchi yote inahofu Nini kitaenda kutokea endapo TL atapewa atapewa form ili agombee uraisi
- Hakuna mgogolo ndani ya chama Cha CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Raisi
- Vyombo vya habari vimempa kisogo TL vile vya ndani, haviwezi hata kwenda kwake kumuulizie kuhusu afya yake na mipango yake lakini TL amekuwa maalufu mpaka wapinzani wake wanaogopa
- Kampeni za TUMETEKELEZA hazifuatiliwi kabisa na wenye tv na zimekosa mvuto
- Ari ya vijana kupiga kura imerudi tofauti na awali walivyo kuwa wakisema kupiga kura Ni kupoteza muda wako.
Leo Ni leo, asemae kesho Ni muoga
#NIYEYE2020
Nendeni nalo shambani huko,sisi tuko na kiongozi mwenye visionAisee kuna mafala hapa duniani sijawahi ona.
Si tuko na jembe JPM
Tukutane October 2020Huu ujinga mwingine, hivi kwa akili yenu mnadhani huyu mwanaharakati msomi wa sheria mropokaji na limbukeni ndio anaweza kuwa Rais wa nchi?
Huu ni Ujinga na upunguani. Jitahidi matokeo mtayakuta Octoba 28 vichwa vikizibuliwa na sanduku la kula. Pigeni kelele mitandaoni mwisho Octoba 28. Na siku ya kupeleka watu barabarani NI YEYE awe mstari wa mbele atavisikia tena vyuma vya moto. Hatuwezi haribu nchi kwasababu ya mpuuzi mmoja na uana harakati wake
Tukutane October 2020Aii, upinzani mwaka huu utalia. Hakuna namna.
Wengi bado hawana mwamko wa kwenda kupiga kura.
[emoji110]Tukutane October 2020
Tunajua Raisi atakuwa Tundu Antipas Lissu. Na Hii ni mpende au msipende!See u november
Acha kujipa moyo, ili hali unajua Rais atakuwa nani
Poteza muda kuimarisha kipato chako