Uchaguzi 2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania


You are deeply frustrated for nothing....

Calm down, take a glass of cold water, drink then sit down...

Now, I can tell you this:

Karma is a bitch brother. Your wish is not a grant....

Jiandae kwa lolote. Jiandae kuongozwa na Rais yeyote atakayechaguliwa...

Maisha yetu yanapaswa kuwa ya mfano wa Yesu Kristo....

Yesu Kristo alipingwa kila kona. Kila namna ilitumika kuzuia "mission" yake; polisi, mahakama, uchawi, propaganda za kila namna (hii yako ni ya kitoto sana) nk...

Waliposhindwa, wakaja na mbinu ya KIFO. Wakadhani kifo kitazuia KUSUDI la MISSION yake....

Lakini everything didn't work...

Ndugu, KARMA is a key deciding factor kwa maisha yetu ya kila siku...

Mambo hayafanyiki tu kwa kuwa wewe una hasira sana, humpendi mtu fulani au kwa sbb unanufaika kwa namna hii au ile na uwepo wa mtu fulani mahali fulani....

Mfano, hapa huna hata sababu ya Kung'aka lakini unang'aka tu kana kwamba wewe ni mwamuzi wa uelekeo wa maisha ya watu wengine...

You are wrong. Tuliza akili yako. Fikiri vizuri...
 
This is major point.....Hakuna mgogoro ndani ya CHADEMA na Hakuna anayewaza kuhama akaunge juhudi za mheshimiwa Raisi[emoji1548][emoji1534][emoji1548][emoji1534][emoji1548][emoji770][emoji817][emoji770][emoji817]
 
Chadem Hua mmachekesha Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pimbi kweli wewe,kazi yako kulamba makalio ya basha wako tu,huna hoja
 

Sasa wananchi kama wanamkubali pamoja uropokaji wake wewe ni nani wa kupingana na wapiga kura
 
Wakati wa Lowasa walihitokeza wanalumumba wengi kila mtu kujifanya msemaje. Akina Lusinde, Alina Msukuma, akina Makonda, akina Mwandosya, akina Malecela woote waliibuka kutoa matamko. Lkini now wamejua mto ni wa tofauti.
 
Taratibu NDUGU Mbona umepaniki?
 
CCM wajiandae kukabidhi nchi kwa CDM.
 
Tunajua Raisi atakuwa Tundu Antipas Lissu. Na Hii ni mpende au msipende!

Haya, kama anakuwa rais kwa wewe kulazimisha haya atakuwa rais

Ndio nyie mnaongezq idadi ya wajinga nchini kwenye kila tafiti

Be genuine, hakuwa EL awe huyu?
 
Haya, kama anakuwa rais kwa wewe kulazimisha haya atakuwa rais

Ndio nyie mnaongezq idadi ya wajinga nchini kwenye kila tafiti

Be genuine, hakuwa EL awe huyu?
Huo ndo ukweli wenyewe. Lissu ni raisi wa Tanzania coming October 2020. Najua hupendi ila ndo uhalisia. Hakuna chochote ambacho Lowassa amemshinda Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…