Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

Maana ake huenda likawa Ni tatizo la kisaikolojia zaidi?
 
Hutaishi maisha marefu, umewekeza akili down sana
 
Kaka mkubwa ipo hivi, unaweza kua na u.t.i... matumizi ya pombe kupita kiasi,.... Stress pia zinapelekea hvo...... Kitu kingine lbd una tatizo la mbegu kuingia kweny kibofu badala ya kutoka nje....... Jitahid ubaki na mchepuko mmja tu.... Sidhan kama unaelekea pazuri

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hutaishi maisha marefu, umewekeza akili down sana
Kifo hakina guarantee ndugu,
Hata yule aliyepiga pushapu majukwaani alifariki na kumuacha yule aliedhani angefia ikulu. Uhai anapanga mola.
 
Sijawahi kuugua ugonjwa wowote wa zinaa Wala UTI zaidi ya miaka 40 imepita Sasa tangu nmezaliwa mkuu
 
Hilo la kuchelewesha kuhold nmekua nikifanya Mara kwa Mara Kisha nikiamua NAKOJOA vizur tu,
ila Sasa imefikia hatua nahitaji kukojoa mwenyewe kwa hiari yangu bado inashindikana.
 
Hilo la kuchelewesha kuhold nmekua nikifanya Mara kwa Mara Kisha nikiamua NAKOJOA vizur tu,
ila Sasa imefikia hatua nahitaji kukojoa mwenyewe kwa hiari yangu bado inashindikana.
Pengine ndio athari zimeanza.
 
Inabidi utumie sea food Sana kuanzia saizi, pia kama una nafasi Kuna samaki anaitwa sea horse (farasi wa baharini)huyo pichani anasaidia kutibu magonjwa ya Maumivu ya mwili,uchovu,mgongo. Unaweza ukawa unamloweka kwenye juisi,maji,chai,supu au pombe Kisha unakunywa asubuhi na jioni. Unaweza mtumia hata mwaka au ukakata vipande ukamla. Huyo samaki anatumiwa Sana na wachina (Chinese herbs). Dar ukienda kivukoni pale ferry unaweza kumpata ingawa anavuliwa bahari kuu maeneo ya Kilwa au Mafia Bei kuanzia 15000 mpaka 20,000 Kwa mmoja yupo Sawa na kidole Cha mkono.


Angalizo Kuna wafilipino walikuwa Bongo wakawa wanamtumia huyo kwenye pombe wao wanasema wanapata hamasa zaidi kama Yako kufanya kazi za kibailojia.
 
😂😂mwana lijali ila mkuu hongera sana ubalikiwe unawakilisha wana ila ningependa kujua ni wa dar au mikoan
 
Duh mkuu pole sana asee....

ishu yako inaweza kusababishwa na hali inaitwa

hyponadism-ni ile hali ambayo korodani inashindwa kuzalisha homoni muhimu ya testosterone so inapelekea kutozalishwa kwa mbegu za kiume na pia kupungua kwa hisia wakati wa tendo.

Pia magonjwa ambayo yanayoathiri tezi dume mfano prostate cancer,magonjwa haya huwa na tabia ya kukata mawasiliano kati ya ubongo na viungo vya uzazi.

Uchovu pia huenda ikawa sababu bila kusahau magonjwa yanayoathiri mfumo wa fahamu kama sukari,kiharusi na shinikizo la damu

Ushauri wangu nenda tu hospital tena wala usichelewe mkuu tatizo lisije kuwa kubwa.
 
Shukran Sana mkuu,
Kesho ntajaribu kufika feri kumuulizia, sijajua kibongo bongo anaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…