[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi jana nilipima uzito nimejikuta nimeongezeka kilo tatu
Mkuu Ritz . Happy to see you again here. Naona umerudi kwa nguvu. Ni wakati wa CCM wanaotumia akili kurudi kuendesha Chama. 😂😂😂Wanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Duuu, kumbe upo? Tokea enzi za Jakaya no where you have been seen kwa kweli.Wanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Malengo ya mbali hujengwa na malengo ya muda mfupiWatu wenye akili fupi siku zote hawatizami mbali. Wao wanaangalia leo wanakula nini ya kesho hawajui.
Usiache kula kitimoto bwashee!Mimi jana nilipima uzito nimejikuta nimeongezeka kilo tatu
Sasa hivi nchi ipo ktk right track sio kipindi cha mwendazake alivyokua anatuaminisha uongoWanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
MATAGA taratibu mmeanza kuchomoka machakani mmoja mmojaWanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Duuu, kumbe upo? Tokea enzi za Jakaya no where you have been seen kwa kweli.
Asante Mheshimiwa Samia Suluhu umeturejeshea matumaini mapya.
Yes, tulijaa majerahani mwilini, vidonda vilioza hadi vilianza kutoa funza. Tuliumizwa.
Bado mapema sana acha ushabiki maandaziWanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Kauli hii “Huu sio wakati wa kutazama mbele kwa mashaka. Huu ni wakati wa kutazama mbele kwa matumaini na kujenga Tanzania kutoka kwa Rais Suluhu Samia, naipigia mstari. Watu wenye DEMOKRASIA wanaishi kwa matumaini Lakini Watu wasio na demokrasia wanaishi kwa Mashaka.Watu wenye akili fupi siku zote hawatizami mbali. Wao wanaangalia leo wanakula nini ya kesho hawajui.
Bila leo kesho haipo...nafuu ya mgonjwa ndio ahueni ya muuguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wenye akili fupi siku zote hawatizami mbali. Wao wanaangalia leo wanakula nini ya kesho hawajui.
Mtambue mwenye ujumbe huo,Zitto ruyagwa kabwe, btw Ritz ulipotea sana,tangu jk ameondoka na wewe uka mute,amekuja Samia na wewe umerudi,ngoja nifanye kautafiti flaniWanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Wanaukumbi.