Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Huyu si mmoja wa Mataga,mataga yalipo ji form Ritz alikaa pembeni na kuwaacha mataga wa kisukuma watimuliane vumbi kwanza,vumbi limetulia amerudiMATAGA taratibu mmeanza kuchomoka machakani mmoja mmoja
Wanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Siku hizi konyagi nakunywa dry halafu wala sioni uchungu wakeMimi jana nilipima uzito nimejikuta nimeongezeka kilo tatu
Mtambue mwenye ujumbe huo,Zitto ruyagwa kabwe, btw Ritz ulipotea sana,tangu jk ameondoka na wewe uka mute,amekuja Samia na wewe umerudi,ngoja nifanye kautafiti flani
Hahahah!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi konyagi nakunywa dry halafu wala sioni uchungu wake
Ni wachache sana watakuelewa.Furaha inayoletwa na matamko yasiyo na backup ya sheria ni sawa na upepo tu.
Tulia kijana. Chuki zisizo na mpango husababisha maradhi mengiBado mapema sana acha ushabiki maandazi
Wengine tunaweka rekodi hizi posts zenu.Wanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
True a Country is no a CompanyFuraha inayoletwa na matamko yasiyo na backup ya sheria ni sawa na upepo tu.
Ni afadhari kuwa na akili fupi lakini unasimamia ukweli kuliko kijifanya unaakili ndefu halafu unaaminishwa uongo na unafiki.Watu wenye akili fupi siku zote hawatizami mbali. Wao wanaangalia leo wanakula nini ya kesho hawajui.
Sina hakika kwamba huwa tunamsikiliza mama kwa umakini, mwanzo hadi mwishoNi wachache sana watakuelewa.
Pia tutakuwa tunamuoneaFarao
Ni kweli matamko ndio kila kitu ....tumeshiba kabisaWanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Sukuma Gang sijui wanakasirikia nini Mama akisifiwa,wanataka kuturudisha kwenye enzi za maiti za kwenye viroba kule Coco beach. Sikujua kuwa Wasukuma wana roho mbaya kiasi hiki. Mbegu aliyoipanda askofu Chidi sasa imeanza kumea.Usiwe punguani kwa hiyo wewe roho inakuuma siyo Rais kusifiwa.
Ah Veronica France umetokezea na huku,na agenda yako ile ile ya kutaka kumchafua Mzee wa Msoga,hivi Sukuma Gang nani aliyewaroga?Mtambue mwenye ujumbe huo,Zitto ruyagwa kabwe, btw Ritz ulipotea sana,tangu jk ameondoka na wewe uka mute,amekuja Samia na wewe umerudi,ngoja nifanye kautafiti flani