hawa ni walewale tu mkuu sema mfumo uliwatema ila hawana tofauti kubwaHuyu si mmoja wa Mataga,mataga yalipo ji form Ritz alikaa pembeni na kuwaacha mataga wa kisukuma watimuliane vumbi kwanza,vumbi limetulia amerudi
Nyie wazee wa dontachi kuna asie wajua humuUsiwe punguani kwa hiyo wewe roho inakuuma siyo Rais kusifiwa.
Wazee wa Mtambani mshaanzaWanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Kamanda THE BIG SHOW. Just like the good old days. [emoji106]Matumain mapya yamekuja,mama SAMIA ni tupo nyuma yako
Adi Corona imekimbia yenyeweWanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Yani huyu mama tunampa miaka 30!Usiwe punguani kwa hiyo wewe roho inakuuma siyo Rais kusifiwa.
Ndiyo maana hata wewe umetoka mafichoni.Wanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Nimefurahi sana kumuona Bw. Ritz tena. Naona enzi zinarejea. Hivi Madam Faiza yupo?Duuu, kumbe upo? Tokea enzi za Jakaya no where you have been seen kwa kweli.
Asante Mheshimiwa Samia Suluhu umeturejeshea matumaini mapya.
Yes, tulijaa majerahani mwilini, vidonda vilioza hadi vilianza kutoa funza. Tuliumizwa.
Kamanda THE BIG SHOW. Just like the good old days. [emoji106]
Ni faraja kukuona jamvini kiongozi.
Nyie wazee wa dontachi kuna asie wajua humu
pindi jamii flani ikitawala na nyie mnachipua kama uyoga kwa wingi hapa JF
[emoji3][emoji3][emoji3]Yes,that's our job baba paroko,
Mkimzingua mama tunawazingua once and for all...
Sisi ndo wakali wa hizi kaz,ugomvi wetu mayai viza tukibadilisha basi ni masaloo,
Maustadh,muslims,we are peaceful,we obey the law,we respect everybody,
But,if comes anyone of you speak shit and nonsense to our mam SAMIA we send him to the cemetery...
Hahahahah wewe mzee upo.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Return of 'THE BIG SHOW'
Kwa kifupi tuu ni kwamba Kobazi Gang is back so Sukuma Gang warudi ziwani kuvua dagaa.Yes,that's our job baba paroko,
Mkimzingua mama tunawazingua once and for all...
Sisi ndo wakali wa hizi kaz,ugomvi wetu mayai viza tukibadilisha basi ni masaloo,
Maustadh,muslims,we are peaceful,we obey the law,we respect everybody,
But,if comes anyone of you speak shit and nonsense to our mam SAMIA we send him to the cemetery...
Bado tuna safari ndefu ikiwa kauli za viongozi wetu ndio zinakuwa sheria zetu.Sina hakika kwamba huwa tunamsikiliza mama kwa umakini, mwanzo hadi mwisho
Attitude ya kupenda kufisadi ipo kwenye DNA ya watu wengi kubadili mindset za watu WA aina hii inahitaji muda sana,Watu wenye akili fupi siku zote hawatizami mbali. Wao wanaangalia leo wanakula nini ya kesho hawajui.
Vp gesi ilitoka? maana nilipoteza track ya matukio!That's watsup...
Get the envelopes,get the envelopes comrade,it's time now to address the haters...