Maalim ulamaa The Big Show.Kwan mm namsingizia KWA kipi mfano,
Kwan uongo katika utawala wake watumish wa umma wameish kama mashetani?
Kwan ni uongo kuwa wafanyabiashara wamefunga biashara na wengine kukimbia nchi?
Kwani uongo kuwa ameua soko la korosho KWA wamakonde na wakulima wengine?
Uongo kuwa ameminya uhuru wa vyombo vya habari na democracy,
Ana case ya kujibu
Maalim, Salaam aleikumm nimefurahi kukuonya Tena hapa .Wanaukumbi.
“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Haaaa haaaaaTulia kijana. Chuki zisizo na mpango husababisha maradhi mengi
Hasa kwa jamii ya wavuta majani ya mti uliolaaniwa.
Ras, anza kuimba japo kwaya hizo reggae naimani baada ya mwaka wa Uongozi huu pia utazipiga tu.
Long live the president.
Waungwana katika ubora wenuu .salute kwenu wote.Kamanda THE BIG SHOW. Just like the good old days. [emoji106]
Ni faraja kukuona jamvini kiongozi.
Mkuu, jamaa keshaenda zake anza tena ile biashara ya kwenda ChinaWanaukumbi.