Siku 32 baada ya kumaliza PEP

Siku 32 baada ya kumaliza PEP

Mkuu hakikisha unafuata ushauri wa dakitari, kunywa maji mengi, kula matunda kwa wingi pumzisha akili Yako, fanya mazoezi mepesi ..ukizingatia hayo utaishi muda murefu 😀😀😀
 
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2 nkawa nmemaliza ila baadae nkaambiwa alikua mgonjwa, ilikua siku iyo iyo kama masaa 3 baadae, ko ikabidi asubuhi yake niende hospital ya BUGANDO nkajieleza nkapimwa nikawa NEG nkapewa PEP ikiwa ni masaa 13 toka nifanye nae sex... dawa zimeisha nlipewa vidonge vya siku 30 na leo ni siku ya 32 nimepima asubuhi hii, na majibu ni haya👇🏾.... je nipime lini tena kwa uhakika zaidi... ila wallah nkiondokana na hili naoa au nakaa mwenyewe mazima bora niwe najichua tu🥹 nimewaogopa sana wanawake, nilimkosea sana MUNGU🙏🏼
Unapaswa upime tena baada ya miezi mitatu. Halafu usiwe umevuka hata siku 1 ya kumeza dawa
 
Hapo umepima fluid gani ya mwili mbona kama sio Damu? [emoji848]
 
Kama anameza dawa, sio rahisi kukuambukiza hususan kama virusi havisomeki kwake.
 
Back
Top Bottom