Kila jambo lin Faida na hasara!Nyeto imekuokoa na Ngoma, Hongera Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila jambo lin Faida na hasara!Nyeto imekuokoa na Ngoma, Hongera Sana
Kabisa, jamaa anapeta na majibu NEG mda huuKila jambo lin Faida na hasara!
Unapaswa upime tena baada ya miezi mitatu. Halafu usiwe umevuka hata siku 1 ya kumeza dawaWakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2 nkawa nmemaliza ila baadae nkaambiwa alikua mgonjwa, ilikua siku iyo iyo kama masaa 3 baadae, ko ikabidi asubuhi yake niende hospital ya BUGANDO nkajieleza nkapimwa nikawa NEG nkapewa PEP ikiwa ni masaa 13 toka nifanye nae sex... dawa zimeisha nlipewa vidonge vya siku 30 na leo ni siku ya 32 nimepima asubuhi hii, na majibu ni haya👇🏾.... je nipime lini tena kwa uhakika zaidi... ila wallah nkiondokana na hili naoa au nakaa mwenyewe mazima bora niwe najichua tu🥹 nimewaogopa sana wanawake, nilimkosea sana MUNGU🙏🏼
Kwahiyo mkuu hata Kama alipata mchubuko na akaanza hizo dawa ndan labda ya masaa 25 zina mkinga na maambukizUnapaswa upime tena baada ya miezi mitatu. Halafu usiwe umevuka hata siku 1 ya kumeza dawa
Hicho ametumia oral quick mkuuHapo umepima fluid gani ya mwili mbona kama sio Damu? [emoji848]
🤣🤣🤣Sex chini ya dakika mbili we ni KUKU? mecheka sana asee dah!