Siku 32 baada ya kumaliza PEP

Mkuu hakikisha unafuata ushauri wa dakitari, kunywa maji mengi, kula matunda kwa wingi pumzisha akili Yako, fanya mazoezi mepesi ..ukizingatia hayo utaishi muda murefu 😀😀😀
 
Unapaswa upime tena baada ya miezi mitatu. Halafu usiwe umevuka hata siku 1 ya kumeza dawa
 
Hapo umepima fluid gani ya mwili mbona kama sio Damu? [emoji848]
 
Kama anameza dawa, sio rahisi kukuambukiza hususan kama virusi havisomeki kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…