Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Very good bado chama kinakuhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikaa mwezi mzima bila nyeto nikajua nimeacha kumbe wapi. Siku nakuja kujichanganya naingia Instagram nakutana na picha za Sanchi anacheza ile nyimbo ya hamisa mobeto, kuona tu ule msambwanda nikalianzisha hapo hapo. Natamani sana kuacha huu upumbavu ila nashindwa. Najuta sana kujiingiza kwenye huu ujinga, nakumbuka nilijiunga nanyeto rasmi baada ya kuingia JF na kukuta uzi wa mdau akiisifia nyeto huku akijiita mwenyekiti wa chaputa. Hakika Mungu amuone huko aliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28] aisee pole sana
 
Kama najiona vile
 
Yeah nilivyokuwa mwanzo na sasa mabadiriko makubwa sana,bila shaka mbeleni mambo yatakuwa mazuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je umefanikiwa kuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati Ya maadili Njooni mumwadhibu huyu Au Mkuu CHAPUTA embu mkangi lugola Huyu Jamaa [emoji23][emoji23]
Wana chaputa wanalazimika kuishabikia chama hiki kwa sababu wanaamini haiwezekan kuacha punyeto,ndani ya mioyo yao hawapendi kabisa punyeto....ni fedheha kubwa,ninao uzoefu huo,,inawezekana kuacha punyeto, ukiacha punyeto haufi, utakuwa MTU bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punyeto ukiwa unaifanya,visababishi vyake uwa vingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna cha hapo zamani kwa jinsi ulivyo simulia ni kama bado Upo kwenye uanachama. Kama sio katibu basi ni mwenyekiti [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa uamuzi, kitu kizuri kina gharama, kwa kulitambua hilo unapaswa kujitoa kweli kweli, good lucky

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila kama hauna demu na haujaoa, ni ngum kiasi, sometimes huwa nawaza kwenda kupiga hata wale malaya, nipunguze nyege, ila sio nyeto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…