Cannabis Sativa
Member
- Mar 12, 2019
- 7
- 3
Hamna cha hapo zamani kwa jinsi ulivyo simulia ni kama bado Upo kwenye uanachama. Kama sio katibu basi ni mwenyekiti [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukraniI takes a couple of time to quit it congratulations!Keep going further than your anticipation,tumia mda mwingi kusoma vitabu na kufight katika life realm.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio rahisi kama unavyofikiriaHapo mchawi wako ni webs za ngono tu,ukirudia kuangalia tu utarudi kulekule ulikotoka.
Kila la heri mkuu,hongera sana kwa kuthubutu kukutwa na bwana Pepsi.
Nashukuru nimefanikiwa ngoja Nipige cha mwisho cha kujipongeza
Hamna cha hapo zamani kwa jinsi ulivyo simulia ni kama bado Upo kwenye uanachama. Kama sio katibu basi ni mwenyekiti [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUwewe ni katibu muenezi wa chama
2000 to date,20 years jamaa yangu aliniambia nikamwambia hatooa
Kuacha nikazi sana nasikitika sana ni kama uvutaji sigara ama unywaji wa pombe
Hii mada na DP yako tu inatosha kuendelezea uanachama wangu wa kudumu halafu iyo ni siri yako kwa nn ujitolee ayo mahusiano ndo utayaweza kama mwenyewe umeshindwa kujitunzia siriHamna cha hapo zamani kwa jinsi ulivyo simulia ni kama bado Upo kwenye uanachama. Kama sio katibu basi ni mwenyekiti [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Congratulations mkuu wewe ndo unastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu😅😅 Punyeto siyo nzuri kwa ambaye hajapiga au ndo yupo katika hatua za mwanzo atabisha hadi atakaposhuhudia madhara yake, wengi wanaitetea na wataendelea kuitetea hadi hapo itakapowasaliti na wakatamani kuiacha hapo ndo watakapoona mziki wake.
Kupiga punyeto ni kufantasise kichwani unamtaka msichana wa aina gani na wote pale xvideos unawapata mnene, mwembamba, mfupi au mrefu wote wapo ila ubaya wa kufantasise unaanza kuingiliana na real life unajikuta huna limit unatamani hadi watoto wadogo hapo ndo unapoona ushenzi wa nyeto. Mimi nimeapa kuacha na ntaacha kabla madhara makubwa zaidi hayajanikuta.
Hongera sana kwa maelezo yako chama kinahitaji watu muhimu wenye weledi kama nyinyiNyeto inaepusha magonjwa, inaepusha majanga, inakuza uchumi wa mwanaume, inaepusha kifungo cha miaka 30, inaepusha stress kabisa, inaongeza umakini, inamfanya mtu awe mwepesiiiiiiiiiiii, unaweza kupata huduma "popote,muda wowote na saizi yoyote uipendayo", inakuepusha na hamida, haiombi hela, unaaminika katika jamii n.k.
Pia Mungu alipomuumba mwanaume kaweka system ya nyeto ambayo ni wireless (wetdreams) makusudi ili kuepusha majanga kwa mwanaume.
Cha msingi dozi iwe ya wastani angalau 1-5 kwa wiki.
Nimeoa kakaKwa siku hizo 350, ulikua ukijihusisha kuchakata papuchi? Au umekaa muda wote huo bila kugegeda?
Sent using Jamii Forums mobile app