Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Gharama na stress inayotokana na punyeto ni kubwa sana kuliko gharama ya mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punyeto Ina athiri mfumo wako wa akili, hill ni tatizo kubwa sana,kwa sababu akili ndio dira ya mwanadamu,pamoja na madhara mengine mengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kijana kwa kutoka kwenye hilo shimo, nakumbuka ilikuwa mwaka 2013 nilikuwa napiga punyeto baadae nikipata msichana kwaajili ya mahusiano, siku moja alikuja geto japo alisema haji kwa ajili ya mapenzi, alipofika geto alilala kitandani pamoja na mimi ,wakati huo mimi nikitaka nifanye nae mapenzi Ooh! Dushe lilisimama kama mrenda yaani vuta hisia lakini mambo yaligoma nilijisikia vibaya sana, kijana acha nyeto kama huhitaji mahusiano yako yawe pabaya.

Kila laheri kwa kuacha nyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bora uondoke...ulikuwa msumbufu sana kwenye michango ya chama letu..........tatizo ulikuwa unapiga kama unaikomoa mikono yako.......
 
Jamaa hafai kabisa....watu na ndoa zao lakini besheni must..
 
Naomba kuuliza sbb ya nyeto ni nini?! Huwezi kutongoza , huna pesa so unaogopa mademu ni gharama au sababu nini haswa embu nielezeni.

Nataka kuzijua sababu haswaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo zote ulizozitaja si sababu mkuu tatizo la huu mchezo ni kuanza tu mara ya kwanza ukauzoea... unakuwa unajirudia automatically.. usimshawishi mtu ajiingize madhara yake ni mengi sana achilia mbali hayo ya nguvu za kiume yapo mengi hata ya kimaisha ingawa hayasemwi tu hadharani
 
Umeongea ukweli tupu,hadharani hapa hawaongei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zitajeni basi nasi tuwafundishe vijana wanaobalehe, zitajeni kwa faida.
Umeongea ukweli tupu,hadharani hapa hawaongei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimpata demu/mke ambaye yupo available muda wowote ukiwa na uhitaji na ukawa na nia thabiti ya kuacha then siyo kazi ngumu kihivyo.

Kuacha kujichua pekee huku huna mbadala ni mtihani mno.

Tofauti na addictions zingine(drugs& alcohol), punyeto haina withdrawal symptoms hivyo kunaifanya iwe rahisi kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…