Habari za segerea[emoji23] [emoji23] hope hujapoteza rinda!Mkuu uchokozi wangu ni upi?
Unanisingizia tu[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]Segerea kwema kabsa mkuu ukiona mtu anamendea rinda lako jinyee tu mkuu ndyo utaachwa salama[emoji3] [emoji3]
We msukuma mmmh!
Acha kuwatisha wenzio!
Hahahaa Mimi nitawambia tufanye zamu zamu ila nianze mm kuwatifua[emoji23] [emoji23]Siku ukibananishwa Fanya hivyo Mkuu nakupa faida
Ni kweli mkuu, nzuri kuwa makiniAcha kuwatisha wenzio!
DJ sepetu
Kuwa muoga sana utakosa cha kuandika
Mkuu sio rahisi nalinda rinda langu zaidi ya ulinzi Wa magogoni[emoji23] [emoji23]Naapia hata utoke nduki lazima wakutafute na wakutawaze kwanza alfu wanaruka na ww kibishi
Duui[emoji15]Naapia hata utoke nduki lazima wakutafute na wakutawaze kwanza alfu wanaruka na ww kibishi