Siku 5 video ya Diamond yagonga viewers zaidi ya laki moja

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Diamond Platnumz - Number One
(Official Music Video HD 1080p)
2:57 657 likes,
40 dislikes
115,398 views
Diamond
Platnumz
09/02/13
Watch Video

Ikiwa haijafikisha hata week tangu iwekwe youtube,video mpya ya diamond imevunja rekodi kwa video za kitanzania kwa kufikisha viewers zaid ya laki moja ndan ya mda mfupi kias kile huku ikiwa na likes nying kuliko dislikes kuonyesha ni kias gani video hii ni nzuri,ya kipekee na imekubalika na wengi hususan nchi jirani na mataifa mengine kwa mujibu wa youtube..

.Cha ajabu kuna watanzania wachache wasio na son wanadai video mbaya kwa reason ambazo hazina kichwa wala miguu na ukiwaambia wakuoneshe video ya kulinganisha na kuizd hiyo hawana.

Na kwa taarifa tu..baada ya hii anakuja kurekodi nyingine ya hali ya juu na ya gharama zaid coz music n kuwekeza pesa nyingi.

kama wanavyofanya wanaijeria ndo mana wamefika mbali so haters acheni
kuhate kwenye hakuna.tumsapoti ili music wetu azid kuufikisha mbali.
.
 
Tatizo sio video tatizo ni nyimbo...imefanyiwa promo zakufa mtu afu ni ya kawaida u cant compare na wimbo wake wa kesho au moyo wangu
 
alokuambia ilifanyiwa promo audio ni nani?iliyofanyiwa promo n video pamoja na uznduz afu nyie tumeshawazoea hamnaga kizuri hata mtu afanye kizuri vip..
 
Diamond Platnumz - Number One
(Official Music Video HD 1080p)
2:57 657 likes,
40 dislikes
115,398 views
Diamond
Platnumz
09/02/13
Watch Video

Ikiwa haijafikisha hata week tangu iwekwe youtube,video mpya ya diamond imevunja rekodi kwa video za kitanzania kwa kufikisha viewers zaid ya laki moja ndan ya mda mfupi kias kile huku ikiwa na likes nying kuliko dislikes kuonyesha ni kias gani video hii ni nzuri,ya kipekee na imekubalika na wengi hususan nchi jirani na mataifa mengine kwa mujibu wa youtube..
.Cha ajabu kuna watanzania wachache wasio na son wanadai video mbaya kwa reason ambazo hazina kichwa wala miguu na ukiwaambia wakuoneshe video ya kulinganisha na kuizd hiyo hawana.
Na kwa taarifa tu..baada ya hii anakuja kurekodi nyingine ya hali ya juu na ya gharama zaid coz music n kuwekeza pesa nyingi.
kama wanavyofanya wanaijeria ndo mana wamefika mbali so haters acheni
kuhate kwenye hakuna.tumsapoti ili music wetu azid kuufikisha mbali.
.

kuwa na likes nyingi co kipimo cha ubora ndg!cku hiz wa2 wanalike mpaka matangazo ya vifo sembuse video
 
Diamond Platnumz - Number One
(Official Music Video HD 1080p)
2:57 657 likes,
40 dislikes
115,398 views
Diamond
Platnumz
09/02/13
Watch Video

Ikiwa haijafikisha hata week tangu iwekwe youtube,video mpya ya diamond imevunja rekodi kwa video za kitanzania kwa kufikisha viewers zaid ya laki moja ndan ya mda mfupi kias kile huku ikiwa na likes nying kuliko dislikes kuonyesha ni kias gani video hii ni nzuri,ya kipekee na imekubalika na wengi hususan nchi jirani na mataifa mengine kwa mujibu wa youtube..
.Cha ajabu kuna watanzania wachache wasio na son wanadai video mbaya kwa reason ambazo hazina kichwa wala miguu na ukiwaambia wakuoneshe video ya kulinganisha na kuizd hiyo hawana.
Na kwa taarifa tu..baada ya hii anakuja kurekodi nyingine ya hali ya juu na ya gharama zaid coz music n kuwekeza pesa nyingi.
kama wanavyofanya wanaijeria ndo mana wamefika mbali so haters acheni
kuhate kwenye hakuna.tumsapoti ili music wetu azid kuufikisha mbali.
.

Utakua umelala usingiz wa pono wewe.....hii stail Mpya ya ngololo ungejua ndo habari ya jiji ungeshona huo mdomo!!stop hating nonsense na don't generalize.fullstop
 
Dogo anafanya kazi.... ukiisikia kwa vidokezo vyake vya Ngololo njia nzima kichwani ni wimbo wake tu......

Big up Diamond
 
Nna was was na uwezo wako wa kufikiri we jangwa.nakushaur ujitambue kwanza kisha ndo uwe unaandikahumu jf.inaonekana hata elim yako ni tatizo pia.sina nia mbaya kabisa lakini nimekuwa nikifautilia post zako naona kama weee ni mtoto ulie kulia malez ya kihunhun na starehe tena umelelewa na mzazi mmoja kama sikosei.hata kama umeajiliwa na diamond jufanya kaz zake kama hiv lakini kuwa makin maan unapoteza radha hata ya huyo boss wako.kwa upande wangu makosa yako ni haya.
1.unapost kila siku na kila wakat kuhusu diamond(sio mbaya)lajin kumbuka hii inaboa watu na unamfanya diamond aonekane wa kawaida na watu wenye busara wanakudharau na kukuona we muhun na kumdharau hata huyo alie kutuma.

2.unatukanana na watu humu hasa wale wanaoonesha kukupinga(najua na na mm utanitukana)na hivo kutupa wakati mgumu kukutafsir
3.unaongelea sana wanaompinga diamond na kutoa maneno makali kwao hii inamaanisha huna uhakika na kile unachofanya.
4,haujiamini
5.unapost mazur tu na mabya pia yapo!
Ni hayo tu bwana mdogo nasubil jibu ili niprove uwezo wako wa uelewa
 
Diamond Platnumz -
Number One
(Official Music Video HD 1080p)
2:57 657 likes,
40 dislikes
115,398 views
Diamond
Platnumz
09/02/13
Watch Video

Ikiwa haijafikisha hata week tangu iwekwe youtube,video mpya ya diamond
imevunja rekodi kwa video za kitanzania kwa kufikisha viewers zaid ya
laki moja ndan ya mda mfupi kias kile huku ikiwa na likes nying kuliko
dislikes kuonyesha ni kias gani video hii ni nzuri,ya kipekee na
imekubalika na wengi hususan nchi jirani na mataifa mengine kwa mujibu
wa youtube..
.Cha ajabu kuna watanzania wachache wasio na son wanadai video mbaya kwa
reason ambazo hazina kichwa wala miguu na ukiwaambia wakuoneshe video
ya kulinganisha na kuizd hiyo hawana.
Na kwa taarifa tu..baada ya hii anakuja kurekodi nyingine ya hali ya juu
na ya gharama zaid coz music n kuwekeza pesa nyingi.
kama wanavyofanya wanaijeria ndo mana wamefika mbali so haters acheni
kuhate kwenye hakuna.tumsapoti ili music wetu azid kuufikisha mbali.
.

ma hii idadi unayousema ni kwa wale waliongalia kupitia akaunti yake ya diamond platinumz, ukijumlisha na wale walioiangalia kupitia akaunti nyingine kas vile ogola djz, wachafu classic etc etc etc dogo anaweza kuwa amefikisha biews laki mbili hivi
 
Anakulipa bei gani kaka? Maana hili promo unampa kama hakulipi basi utakua ni bingwa wa kufanya kazi za kanisa.
 
ma hii idadi unayousema ni kwa wale waliongalia kupitia akaunti yake ya diamond platinumz, ukijumlisha na wale walioiangalia kupitia akaunti nyingine kas vile ogola djz, wachafu classic etc etc etc dogo anaweza kuwa amefikisha biews laki mbili hivi

so what?
 
alokuambia ilifanyiwa promo audio ni nani?iliyofanyiwa promo n video pamoja na uznduz afu nyie tumeshawazoea hamnaga kizuri hata mtu afanye kizuri vip..

Video ni balaa kwakweli lakini to be honest with no offense audio imebebwa na video aisee kiroho safi kabisaaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huo wimbo wa Ngololo sijawahi kuusikia wala kuona video ila nimesikia na nimeona viclip vya 15sec kwenye instagram yake ambapo alitangaza watu wajirekodi wakicheza Ngololo.

Nahisi kama Ngololo Ngololo,, Ngololo Ngololo inasikika sikika kichwani kwangu. Uzuri wa nyimbo una ladha tofauti tofauti.

I cant wait kuusikia na kuuona. Big up Diamond!
 
Nna was was na uwezo wako wa kufikiri we jangwa.nakushaur ujitambue kwanza kisha ndo uwe unaandikahumu jf.inaonekana hata elim yako ni tatizo pia.sina nia mbaya kabisa lakini nimekuwa nikifautilia post zako naona kama weee ni mtoto ulie kulia malez ya kihunhun na starehe tena umelelewa na mzazi mmoja kama sikosei.hata kama umeajiliwa na diamond jufanya kaz zake kama hiv lakini kuwa makin maan unapoteza radha hata ya huyo boss wako.kwa upande wangu makosa yako ni haya.
1.unapost kila siku na kila wakat kuhusu diamond(sio mbaya)lajin kumbuka hii inaboa watu na unamfanya diamond aonekane wa kawaida na watu wenye busara wanakudharau na kukuona we muhun na kumdharau hata huyo alie kutuma.

2.unatukanana na watu humu hasa wale wanaoonesha kukupinga(najua na na mm utanitukana)na hivo kutupa wakati mgumu kukutafsir
3.unaongelea sana wanaompinga diamond na kutoa maneno makali kwao hii inamaanisha huna uhakika na kile unachofanya.
4,haujiamini
5.unapost mazur tu na mabya pia yapo!
Ni hayo tu bwana mdogo nasubil jibu ili niprove uwezo wako wa uelewa

anasema sisi ni masikini ndiyo maana tuna wivu na boss wake!!
 
aliwahi niambia,haters usiwe unashughulika kujibshana nao watakuumiza kichwa na kukutia hasira bure,saiz nimeamin maneno yke,watu kama nyie ctojibishana nanyi
 
diamond anaendesha
music wake kisasa kuliko
mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke
yake..na
WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni
kampuni watu tumeajiliwa pale
kila mtu ana kitengo chake
kuwezesha msic wake uendelee
kusonga na nina
mshahara mkubwa pengine kuliko
wewe unaepiga domo hum..na
kupost habari
za naseeb hum napost kwa matakwa
yangu coz cwez kuacha kuandika
habari
za boss wangu nipost habri za
timburo or nani cjui....
 
diamond anaendesha
music wake kisasa kuliko
mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke
yake..na
WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni
kampuni watu tumeajiliwa pale
kila mtu ana kitengo chake
kuwezesha msic wake uendelee
kusonga na nina
mshahara mkubwa pengine kuliko
wewe unaepiga domo hum..na
kupost habari
za naseeb hum napost kwa matakwa
yangu coz cwez kuacha kuandika
habari
za boss wangu nipost habri za
timburo or nani cjui....

wewe mzima kweli?
Umeshaingiliwa tayari wewe!
Umevurugwa!
Hakuna asiyekubali diamond ni msanii mzuri na mwenye mafanikio ila tatizo lipo ktk hiyo management yake,
management ndio itamwangusha ktk safari yake ya kufikisha mziki wetu mbali HASA UWEPO WAKO KTK HIYO CREW,nadhani kutakuwa na wehu wengine zaidi yako ndio wamekuchagua wewe uje kupost huku
 
diamond anaendesha
music wake kisasa kuliko
mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke
yake..na
WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni
kampuni watu tumeajiliwa pale
kila mtu ana kitengo chake
kuwezesha msic wake uendelee
kusonga na nina
mshahara mkubwa pengine kuliko
wewe unaepiga domo hum..na
kupost habari
za naseeb hum napost kwa matakwa
yangu coz cwez kuacha kuandika
habari
za boss wangu nipost habri za
timburo or nani cjui....

we akili yako siyo nzuri..unakaa unasifia mshahara? We ni mtumwa tu hata ulipwe vipi...ndiyo maana mapovu hayakuishi humu jamvini. Huyo jamaa kakupa ushauri mzuri...ona sasa ulivyojivua nguo!!
 
wewe mzima kweli?
Umeshaingiliwa tayari wewe!
Umevurugwa!
Hakuna asiyekubali diamond ni msanii mzuri na mwenye mafanikio ila tatizo lipo ktk hiyo management yake,
management ndio itamwangusha ktk safari yake ya kufikisha mziki wetu mbali HASA UWEPO WAKO KTK HIYO CREW,nadhani kutakuwa na wehu wengine zaidi yako ndio wamekuchagua wewe uje kupost huku

jamaa kashavurugwa huyu...hawa ni aina ya watu ambao hawawezi kuwaambia ukweli maboss wao!!
 
Back
Top Bottom