Siku 5 video ya Diamond yagonga viewers zaidi ya laki moja

Siku 5 video ya Diamond yagonga viewers zaidi ya laki moja

Huyu simba anapasua kwelikweli! Warumi itisha mchango tumjengee simba sanamu
 
Miaka inaenda kasi sana
now days tunazungumzia views million per day

Miaka ile watu hawakuwa na smartphones. Nakumbuka kipindi ile simu babu kubwa zilizukuwa zile kubwa nyeusi zina keyboard kama laptop.
 
Kuna watu kwenye hii post eti waliuponda wimbo wa number 1 na kusema ni wakawaida...nazani walikuja kupigwa butwaa jinsi ngoma ilivyokuja kuwa kubwa kama alivyokuwa akisema heaven on desert (kifesi) kipindi hicho. Pia nazani nafsi zinawasuta kwa kuona dogo kakuwa vibaya mno kimuziki na kiuchumi akiwa na menejiment yake ile ile ambayo miaka 7 nyuma kuna watu humu waliiponda..🤔
 
Kifesi rudi Jf tuwapambanishe na Robidinyo kiba maana halali kila siku anaota ndoto za jinsi ya kuattack WCB..kiufupi anafanya kazi iliyowashinda Clouds, EFM,Diva,Hbaba 😂😂
 
Miaka ile watu hawakuwa na smartphones. Nakumbuka kipindi ile simu babu kubwa zilizukuwa zile kubwa nyeusi zina keyboard kama laptop.
hahahaaa....! Kipindi hcho ukiwa nayo hyo basi unajikuta unabonge la tambo..
afu zikaja Tecno bapa za batan
 
Kuna watu kwenye hii post eti waliuponda wimbo wa number 1 na kusema ni wakawaida...nazani walikuja kupigwa butwaa jinsi ngoma ilivyokuja kuwa kubwa kama alivyokuwa akisema heaven on desert (kifesi) kipindi hicho. Pia nazani nafsi zinawasuta kwa kuona dogo kakuwa vibaya mno kimuziki na kiuchumi akiwa na menejiment yake ile ile ambayo miaka 7 nyuma kuna watu humu waliiponda..🤔

Isnt that normal? Hakuna chochote kile binadamu watakipenda wote kwa asilimia 100

Hata akiwa na njaa kali sana, ukimletea kuku anaweza kusema i wish ningekunywa uji kwanza, au huwa natumia mbuzi

Jifunze kuwa ni kawaida
 
diamond anaendesha
music wake kisasa kuliko
mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke
yake..na
WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni
kampuni watu tumeajiliwa pale
kila mtu ana kitengo chake
kuwezesha msic wake uendelee
kusonga na nina
mshahara mkubwa pengine kuliko
wewe unaepiga domo hum..na
kupost habari
za naseeb hum napost kwa matakwa
yangu coz cwez kuacha kuandika
habari
za boss wangu nipost habri za
timburo or nani cjui....
Ila.maisha bana daah,yani pamoja na kumsifia na kumpromote kote huku na kazi ukafukuzwa kama paka mwizi hahahaaa
 
Ila.maisha bana daah,yani pamoja na kumsifia na kumpromote kote huku na kazi ukafukuzwa kama paka mwizi hahahaaa

Hakufukuzwa aliondoka mwenyewe kurud kwa Mugu alisema

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom