Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Dogo katoka Mbali sana.Nilivyoona tittle eti viewers 100k kwa siku tano nikashangaa kwamba mbona tunarudi nyuma, kumbe ni miaka 7 nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo katoka Mbali sana.Nilivyoona tittle eti viewers 100k kwa siku tano nikashangaa kwamba mbona tunarudi nyuma, kumbe ni miaka 7 nyuma.
Maana halisi ya mpambanaji.Dogo katoka Mbali sana.
Miaka inaenda kasi sana
now days tunazungumzia views million per day
hahahaaa....! Kipindi hcho ukiwa nayo hyo basi unajikuta unabonge la tambo..Miaka ile watu hawakuwa na smartphones. Nakumbuka kipindi ile simu babu kubwa zilizukuwa zile kubwa nyeusi zina keyboard kama laptop.
Kuna watu kwenye hii post eti waliuponda wimbo wa number 1 na kusema ni wakawaida...nazani walikuja kupigwa butwaa jinsi ngoma ilivyokuja kuwa kubwa kama alivyokuwa akisema heaven on desert (kifesi) kipindi hicho. Pia nazani nafsi zinawasuta kwa kuona dogo kakuwa vibaya mno kimuziki na kiuchumi akiwa na menejiment yake ile ile ambayo miaka 7 nyuma kuna watu humu waliiponda..🤔
Ila.maisha bana daah,yani pamoja na kumsifia na kumpromote kote huku na kazi ukafukuzwa kama paka mwizi hahahaaadiamond anaendesha
music wake kisasa kuliko
mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke
yake..na
WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni
kampuni watu tumeajiliwa pale
kila mtu ana kitengo chake
kuwezesha msic wake uendelee
kusonga na nina
mshahara mkubwa pengine kuliko
wewe unaepiga domo hum..na
kupost habari
za naseeb hum napost kwa matakwa
yangu coz cwez kuacha kuandika
habari
za boss wangu nipost habri za
timburo or nani cjui....
Ilikuwa2013views zaidi ya laki moja au zaidi ya million moja??
mleta rekebisha utakuwa umekosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila.maisha bana daah,yani pamoja na kumsifia na kumpromote kote huku na kazi ukafukuzwa kama paka mwizi hahahaaa