heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Diamond Platnumz - Number One
(Official Music Video HD 1080p)
2:57 657 likes,
40 dislikes
115,398 views
Diamond
Platnumz
09/02/13
Watch Video
Ikiwa haijafikisha hata week tangu iwekwe youtube,video mpya ya diamond imevunja rekodi kwa video za kitanzania kwa kufikisha viewers zaid ya laki moja ndan ya mda mfupi kias kile huku ikiwa na likes nying kuliko dislikes kuonyesha ni kias gani video hii ni nzuri,ya kipekee na imekubalika na wengi hususan nchi jirani na mataifa mengine kwa mujibu wa youtube..
.Cha ajabu kuna watanzania wachache wasio na son wanadai video mbaya kwa reason ambazo hazina kichwa wala miguu na ukiwaambia wakuoneshe video ya kulinganisha na kuizd hiyo hawana.
Na kwa taarifa tu..baada ya hii anakuja kurekodi nyingine ya hali ya juu na ya gharama zaid coz music n kuwekeza pesa nyingi.
kama wanavyofanya wanaijeria ndo mana wamefika mbali so haters acheni
kuhate kwenye hakuna.tumsapoti ili music wetu azid kuufikisha mbali.
.