Siku 5 video ya Diamond yagonga viewers zaidi ya laki moja


naona kama maceleb wa bongo wako wachache nikitazama post zinazowahusu. .ktk post mia naona watatu wajirudia zaidi au ndo wanaotoa buku7 hawa
 

wewe bla shaka jamaa anakula tgo!...,unalipwa milion ngap aisee,na hapa ndo upo kazn kumtangaza boss?.,lazma utakuwa unapakatwa na kajamaa!,afu inaonekana we ka PS(permanent secretary)
 
wachawi wengi sana hii dunia
 
innocent dependent njoo uone die hard fan wa WCB ambaye alikua mpiga picha wa Diamond alivyokua anapigania chama lenu humu na ambapo yupo sasa.
Mzee nakuonaga jukwaa la siasa unavyoipigania chadema mtu yoyote akiwa against ya chadema utatoka povu as if umetukaniwa mama yako.Next time nitakuumbua wewe acha kunitag tag Hili Ni onyo
 
Huyu mtu nani alimpa banned for life uku.
Watu tunakosa vitu vizuri uku hadi Twitter hakika kifungo hichi sio poa, member since 2007
Huyu si alipokua maarufu Insta akaona Huku watu wana mchallenge sana akapiga chini.

Cheo chake kilipochukuliwa na Lukamba ndio basi tena.

Ila jama alikua anajituma sana aisee alikua anajibizana na wadau humu hadi unabaki mdomo wazi.
 
Nakumbuka miaka ile watu wakaanza kumpa promo Ali Kiba ili wamshushe Diamond. Wakampigia makelele Kiba kwa nguvu zote ili atoe nyimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…