Siku 5 video ya Diamond yagonga viewers zaidi ya laki moja

Siku 5 video ya Diamond yagonga viewers zaidi ya laki moja

Nna was was na uwezo wako wa kufikiri we jangwa.nakushaur ujitambue kwanza kisha ndo uwe unaandikahumu jf.inaonekana hata elim yako ni tatizo pia.sina nia mbaya kabisa lakini nimekuwa nikifautilia post zako naona kama weee ni mtoto ulie kulia malez ya kihunhun na starehe tena umelelewa na mzazi mmoja kama sikosei.hata kama umeajiliwa na diamond jufanya kaz zake kama hiv lakini kuwa makin maan unapoteza radha hata ya huyo boss wako.kwa upande wangu makosa yako ni haya.
1.unapost kila siku na kila wakat kuhusu diamond(sio mbaya)lajin kumbuka hii inaboa watu na unamfanya diamond aonekane wa kawaida na watu wenye busara wanakudharau na kukuona we muhun na kumdharau hata huyo alie kutuma.

2.unatukanana na watu humu hasa wale wanaoonesha kukupinga(najua na na mm utanitukana)na hivo kutupa wakati mgumu kukutafsir
3.unaongelea sana wanaompinga diamond na kutoa maneno makali kwao hii inamaanisha huna uhakika na kile unachofanya.
4,haujiamini
5.unapost mazur tu na mabya pia yapo!
Ni hayo tu bwana mdogo nasubil jibu ili niprove uwezo wako wa uelewa

naona kama maceleb wa bongo wako wachache nikitazama post zinazowahusu. .ktk post mia naona watatu wajirudia zaidi au ndo wanaotoa buku7 hawa
 
diamond anaendesha
music wake kisasa kuliko
mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke
yake..na
WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni
kampuni watu tumeajiliwa pale
kila mtu ana kitengo chake
kuwezesha msic wake uendelee
kusonga na nina
mshahara mkubwa pengine kuliko
wewe unaepiga domo hum..na
kupost habari
za naseeb hum napost kwa matakwa
yangu coz cwez kuacha kuandika
habari
za boss wangu nipost habri za
timburo or nani cjui....

wewe bla shaka jamaa anakula tgo!...,unalipwa milion ngap aisee,na hapa ndo upo kazn kumtangaza boss?.,lazma utakuwa unapakatwa na kajamaa!,afu inaonekana we ka PS(permanent secretary)
 
wewe mzima kweli?
Umeshaingiliwa tayari wewe!
Umevurugwa!
Hakuna asiyekubali diamond ni msanii mzuri na mwenye mafanikio ila tatizo lipo ktk hiyo management yake,
management ndio itamwangusha ktk safari yake ya kufikisha mziki wetu mbali HASA UWEPO WAKO KTK HIYO CREW,nadhani kutakuwa na wehu wengine zaidi yako ndio wamekuchagua wewe uje kupost huku
wachawi wengi sana hii dunia
 
innocent dependent njoo uone die hard fan wa WCB ambaye alikua mpiga picha wa Diamond alivyokua anapigania chama lenu humu na ambapo yupo sasa.
Mzee nakuonaga jukwaa la siasa unavyoipigania chadema mtu yoyote akiwa against ya chadema utatoka povu as if umetukaniwa mama yako.Next time nitakuumbua wewe acha kunitag tag Hili Ni onyo
 
Huyu mtu nani alimpa banned for life uku.
Watu tunakosa vitu vizuri uku hadi Twitter hakika kifungo hichi sio poa, member since 2007
Huyu si alipokua maarufu Insta akaona Huku watu wana mchallenge sana akapiga chini.

Cheo chake kilipochukuliwa na Lukamba ndio basi tena.

Ila jama alikua anajituma sana aisee alikua anajibizana na wadau humu hadi unabaki mdomo wazi.
 
Nakumbuka miaka ile watu wakaanza kumpa promo Ali Kiba ili wamshushe Diamond. Wakampigia makelele Kiba kwa nguvu zote ili atoe nyimbo.
 
Back
Top Bottom