kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Tume ndio iliyowachagua kwa maagizo toka juuKwani nyie Wananchi ndo mliwachagua hao Wabunge?HaoWabunge sio wawakilishi wa wananchi bali ni Wabunge wa Tume ,Polisi na maccm yenyewe.
Yawezekana hata Mzee Baba hafahamu kwamba Wabunge huwa wanatakiwa kuwawakilisha Wananchi na siyo Mali au wawakilishi wa Rais.Anapowalazimisha Wananchi wakupe mtu Fulani ampendae yeye inapoteza maana ya uwakilishi.Nileteeni Gwajima.
Nileteeni Gwajima.....
Nileteeni Gwajima .......
JIWE.
No wanafanya bwana, Mf Kanyasu alimtetea Yule mkurugenzi fisadiSiku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi...
Kutesa kwa zamu,Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi...
Kwa Tume hii ya Mahera mnapoteza muda tuUpuuzi na uwongo, wacha wabunge wachape kazi.Kipimo ni 2025
Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi..
Dogo! kazi ya mbunge Ni Nini?Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi....
Nileteeni Gwajima.
Nileteeni Gwajima.....
Nileteeni Gwajima .......
JIWE.
Waache waishi Dar. Hatukuwachagua. Ccm walifanya uchafuzi nchi nzima. Waishi Lumumba miaka 5 na kusugua miguu baharini magogoni yote sawa. Watanzania tunajua kwa miaka hii 5 hatuna wabunge.Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.
Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo.
Huku majimboni pia kwa kuwa kampeni zao hazikuwa serious wananchi atutambui hata walituahidi nini maana wengi awakupata hata huo muda wakutoa ahadi.
Dr. Bashiru wafukuze wabunge huko mjini waje wafanye kazi walizoomba, ukitupuuza wananchi atutakuwa na chakukufanya ila tutakuwa na chakuwafanya kama tulivyowafanya uchaguzi uliopita. Mlitudharau kwa miaka mitano, mlipokuja kuomba kura tukawakataa adharani hadi mkatumia nguvu ya dola kupata uteuzi badala yakuchaguliwa.
Jifunzeni kuheshimu walio wengi wenye shida kuliko kuwakumbatia wachache walioshiba.
Mahera asubiri the Hague. Ngariba wake ni Amsterdam. Hawezi kuwachezea Watanzania kiasi hiki.Kwa Tume hii ya Mahera mnapoteza muda tu