Siku 60 baada ya Uchaguzi: Ni wabunge wachache waliofanya cha maana jimboni, wengi wapo Dar

Hao wabunge wenu wameshajua kuwa bila hata kupigiwa kura wataingia bungeni tu mtake msitake.
 
kuna huyu wa kyerwa nilibana nae shimoni kariakoo akisagula baht nzur sie raia wake tunamtambua mkitaka ushaid upo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli sawasawa kwani huyo jamaa mwenye kofia nyeupe kwenye picha hii pia ni mbunge na hapo yuko jimboni kwake mara baada ya kuapishwa akiwa anashirikiana na wananchi wake kutatua kero za usafiri.

 
Mbunge hajengi choo,hajengi Darasa,hajengi zahanati,kazi yake ni kuongea tu bungeni,kusema changamoto za jimboni mwake,
 
Huku SAME amebakia Kilango peke yake tu na viongozi wa wilaya.
Mbunge wa Same Magharibi ametelekeza jimbo.
Hahudhurii vikao vya baraza la kuapishwa madiwani, DCC, RCC, ROAD BOARD, Kikao cha wadau wazawa (wacharo) au Diaspora na hata ziara za mawaziri wa Ardhi, walemavu na maji haonekani.
Chama Dodoma tuleeteeni huyu mtu tushirikiane ujenzi wa shule tafadhali.
 
Wacha wale Raha mkuu Mishahara Mil.11 unataka wakazilie vijijini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…