Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unafikiri hadi sasa hatujafikia India hasa ukizingatia tumeacha kuchukua tahadhari toka mwaka jana? kinachokufanya uone hatujafikia India ni kipi?Kosa langu ni nini kwenye huu uzi? Ni kutoa angalizo au ni kusema kuna uzembe katika kupambana na huyu mdudu?
Mwanzo kila mtu alipambana kivyake,kuvaa barakoa,kupiga nyungu, kujihadhari pia. Tofauti ya Tanzania na India sisi hatukuwa na kirusi kipya sasa kimeingia na watu wamekipuuzaKwanini unafikiri hadi sasa hatujafikia India hasa ukizingatia tumeacha kuchukua tahadhari toka mwaka jana? kinachokufanya uone hatujafikia India ni kipi?
Hiyo mwanzo unayoizungumzia wewe kulikuwa na tahadhari kwa kiasi gani hadi uweze kufikiri kwamba ilisaidia? kwa sababu muda wote serikali ilikuwa inalalamikiwa haichukui tahadhari kwa kiwango kinachotakiwa, humu Jf tu watu walikuwa wanasema hatuwezi kuindoa corona kwa kunawa mikono tu kumaanisha hatukuwa tukichukua hatua za kupambana na corona kwa kiwango kinachostahili. Sasa leo mtu akiniambia kwamba tulichukua tahadhari inanishangaza sana.Mwanzo kila mtu alipambana kivyake,kuvaa barakoa,kupiga nyungu, kujihadhari pia. Tofauti ya Tanzania na India sisi hatukuwa na kirusi kipya sasa kimeingia na watu wamekipuuza
we jamaa acha kusikiliza wanasiasa imagine kipindi kile bila magufuli si tungekwisha kwa hofu kila mtu alikua ana speculate lake au nasema uongo ndugu zanguuuuTanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.
Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.
Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.
Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?
Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Wanasema India kuna muda watu walilegeza kuchukua hatua kwamba kulikuwa na mikusanyiko na ndio iliyowaletea hayo madhara.Kama sijakosea India hawakupuuzia walichukua hatua kedekede.
Sasa we unataka tuchukue hatua gani akati hatua walizochukua india na wakafa ndo izoizo tutachukua na sisi?
Unataka tufungiwe?Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.
Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.
Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.
Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?
Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.
Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.
Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.
Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?
Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Kosa lako ni kurudi rudia ishu ambayo tunaijuaKosa langu ni nini kwenye huu uzi? Ni kutoa angalizo au ni kusema kuna uzembe katika kupambana na huyu mdudu?