#COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

Itakua zaidi ya India kijijini kwenu na sio Tanzania! Walikuwepo wengi tu waliotutabiria mabaya lakini tumeuona mkono wa Mungu ukiwa pamoja nasi. Siku 60 zijazo zitakua kama siku 60 zilizopita tu!
Aliyeyatamka maneno kama haya ya kwako ndiyo akafanyika mbuzi wa kafara korona ikamwondoa akazimika kama mshumaa.

Hala hala ndugu, kaa chonjo hapo ulipo!
 
Siku yao inakuwa umefika. Tusitishane sana na kifo. JPM alisema TUSITISHANEE kama utakuwa kwa korona utakufa kwa malaria,ajali, kansa n.k. Narusia TUSITISHANEE.
Pile sana kww kujazwa ujinga na mwendazake
 
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Matatizo yanaanzia kwa rais mwenyewe.anafanya mikutano huku akijua corona IPO tena kwa wingi tuu.anawavalisha watu barakoa na wanakaa karibukaribu.anatumia mic moja huku amevua barakoa.hapo unategemea mwananchi wa kawaida afanye nn?.
 
Kabisa
 
Aliposhindwa, Mseveni aliamua kuzika majeneza yasiyo na maiti.... Siyo kila UTABIRI unatimia maana zingine ni matamanio tu ya wanenao ili waonekane wanajua zaidi ya wengine,,,, ila COVID ipo na akili kumkichwa...
 
Unahisi nani hafahamu kuwa covid ipo na huyo presenter wako ndio muhuri wa uwepo wa covid au uko na maana gani?

Huwa mnasema nani kwenu aliyepata ,kwahiyo kwetu aliyepata ni Jabir Saleh.
 
Matatizo yanaanzia kwa rais mwenyewe.anafanya mikutano huku akijua corona IPO tena kwa wingi tuu.anawavalisha watu barakoa na wanakaa karibukaribu.anatumia mic moja huku amevua barakoa.hapo unategemea mwananchi wa kawaida afanye nn?.
Heshima tafadhali. Our president knows better.

Hawa mnaoandika hivi aidha ni vijana ambao wanatunzwa na familia zao/serikali kupitia mikopo au wale ambao wana vipato vya kila mwezi hata asipokuapo kazini ana uhakika wa kuishi au labda ametumwa nani anajua.

Sisi tunaoguswa na kuandika humu kuhusu swala hili tunajua kisayansi na kiuchumi hayo hasara ya hayo nyingi mnayoyapigia debe.
 
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Ushindwe na ulegee wewe ni binadamu kama binadamu muachie mungu muweza wa yote kikubwa ni kuendelea kumwomba mungu na kuchukua tahadhali sio kuitisha jamii wee sio mungu.
 
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka

Shindwa na ulegee pepo wewe
 
Nyie ndiyo mnao lipwa na mabeberu kusambaza hofu isiyo na uhalisia ili wao wafanye biashara,ilitushindwa ya mwaka jana ije iwe hii?
 
Kwa hiyo kisa Jabir Saleh kapata ndio tufunge mtaa? Wewe hujawahi kuumwa tangu umezaliwa kwanini usituletee taarifa za kuumwa kwako hapa?

Uthibitisho wa Jabor saleh kupata ni kwaambia kwamba corona ipo na sio kama TANTALILA zenu za kusema hakuna corona while watu wanapata , sio mpaka mimi nipate ndio uporove kwamba , kama rais amethibitisha corona ipo mimi ni nani nimbishie?
 
Hebu ngoja tusubiri hiyo miezi miwili, halafu ndio tutarudi kukomenti hapa...

By the way mdudu hajawahi kuondoka TZ, kama hujakutana naye ni kwamba Mungu kakulinda kwa kudra zake
 
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
na wewe utakuwa umeshayeya
 
Back
Top Bottom