#COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

#COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

Kwa hiyo @santoshi Mungu ni mbaguzi sio, Tanzania ndio inapendwa zaidi
Mungu hutazama duniani amuone mwenye imani hata mmoja enzi hizo alimuona Magufuli na sisi watu wake basi kwa kuwa yeye asemi uongo akalitimiza neno Lake.

Wazungu wanapasuka kichwa na watu wengine duniani kwanini sisi Tuko salama huyo ndio Mungu sio mbaguzi ila anatazama walomlilia sio wanaokimbilia chanjo na kujifungia Kama yeye hayupo
 
Mungu hutazama duniani amuone mwenye imani hata mmoja enzi hizo alimuona Magufuli na sisi watu wake basi kwa kuwa yeye asemi uongo akalitimiza neno Lake. wazungu wanapasuka kichwa na watu wengine duniani kwanini sisi Tuko salama huyo ndio Mungu sio mbaguzi ila anatazama walomlilia sio wanaokimbilia chanjo na kujifungia Kama yeye hayupo
Natamani sana kujua imani yako
 
Magufuli aliwaaribu sana dah!!
Mpuuzi tu wewe. Wakati wa JPM kuna tahadhari yoyote mlichukua? Mbona watu walikuwa wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Kwenye wimbi la kwanza la Covid-19 unataka kusema Tanzania ilikuwa na tahadhari kuliko USA, ITALIA, BRAZIL n.k

Mambo mengine bora ufunge tu kinywa chako kuliko kupaza sauti kufikiria ujinga. Kwa akili yako unadhani kuna watu waliheshimu tahadhari za Covid-19 kuliko wazungu?
 
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi...
Kuna hatari kubwa sana mbele yetu. Hatua za lazima za tahadhari inapaswa zichukuliwe. Suala la kusema tuchukue tahadhari wakati mambo yanafanyika kimazoea yatatuletea vifo vya covid hadi tushangae
 
Sijakuelea,kwa hiyo kinachoisaidia Tanzania ni nini? Mungu, tahadhari au mbinu za asili?
Mpuuzi tu wewe. Wakati wa JPM kuna tahadhari yoyote mlichukua? Mbona watu walikuwa wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Kwenye wimbi la kwanza la Covid-19 unataka kusema Tanzania ilikuwa na tahadhari kuliko USA, ITALIA, BRAZIL n.k...
 
Back
Top Bottom