Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 995
% Ukweli mtupu
Ila wapumbavu watapinga
Ila wapumbavu watapinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kama kausahau unafiki wa Watanzania,
Utaufufua uzi huu 2028 kama jf haitafungiwa..Udictator utakaofanyika katika kipindi cha pili (2020-2025) utakuwa wa machozi jasho na damu!.Ni Kama kausahau unafiki wa Watanzania,
Hawa hawa kina Lemutuz na Makonda walikuwa wananyenyekea Kwa Kikwete lakin wamepata muabudiwa mpya
Usishangae Mwaka 2026 akiwa amekubali kuachia madaraka wakiibua hoja hizi
Tunataka kujua mchakato wa manunuzi ya ndege zetu kuna harufu fulani
Kuna waliopotea bila kuonekana najua kuna mahojiano yataanza sana
Kina Rugemalila wa Escrow wako tiyari kukaa ndani Kwa miaka ningine 6 ili akija mwingine ayatengue haya,
Yatasemwa mengi ngoja niishie hapa kwanza
Kumbe kuna ufalme mara mbili kuna ule wa kuwa nao milele, lakin kuna wa kuonjeshwa na muda wake ukaisha ni mbaya sana
Nutafufua uzi huu mwaka 2028 panapo majaliwa Mungu atupe uzima
Britannica
Siku mtukufu magufuli anatoka ikulu ndiyo siku hiyo hiyo Bashite atahama Nchi pamoja na kikundi chake chote cha akina cyprian Musiba, Le mutuz na huyo mchochezi mpya anaitwa Joseph yona huwatishia watu kwenye Group za Whatsapp lakini akiwa JF hana ujanja hupigwa mpaka analegeaNi Kama kausahau unafiki wa Watanzania,
Hawa hawa kina Lemutuz na Makonda walikuwa wananyenyekea Kwa Kikwete lakin wamepata muabudiwa mpya
Usishangae Mwaka 2026 akiwa amekubali kuachia madaraka wakiibua hoja hizi
Tunataka kujua mchakato wa manunuzi ya ndege zetu kuna harufu fulani
Kuna waliopotea bila kuonekana najua kuna mahojiano yataanza sana
Kina Rugemalila wa Escrow wako tiyari kukaa ndani Kwa miaka ningine 6 ili akija mwingine ayatengue haya,
Yatasemwa mengi ngoja niishie hapa kwanza
Kumbe kuna ufalme mara mbili kuna ule wa kuwa nao milele, lakin kuna wa kuonjeshwa na muda wake ukaisha ni mbaya sana
Nutafufua uzi huu mwaka 2028 panapo majaliwa Mungu atupe uzima
Britannica
Utaufufua uzi huu 2028 kama jf haitafungiwa..Udictator utakaofanyika katika kipindi cha pili (2020-2025) utakuwa wa machozi jasho na damu!.
Kuna watu watakatwa mwakani kwenye kura za maoni na hawatakubali dictator jiwe azime ndoto zao za kisiasa.
Issue ya mrithi wa kiti cha magogoni nayo itakuwa moto, mtu atakayeachiwa ni kutoka kanda pendwa, hapo ndio mgawanyiko utakapoanzia.
Mwe mwe mwe!!!!!!Jamaa mmoja hivi ana kichwa kama ana utindio wa ubongo
uzi huu utafufuka January 2021 wakati watu wanakimbizana kutafuta mitumbwi kule Bagamoyo & Mafia ya kuwavusha mafichoni Comoro!Ni Kama kausahau unafiki wa Watanzania,
Hawa hawa kina Lemutuz na Makonda walikuwa wananyenyekea Kwa Kikwete lakin wamepata muabudiwa mpya
Usishangae Mwaka 2026 akiwa amekubali kuachia madaraka wakiibua hoja hizi
Tunataka kujua mchakato wa manunuzi ya ndege zetu kuna harufu fulani
Kuna waliopotea bila kuonekana najua kuna mahojiano yataanza sana
Kina Rugemalila wa Escrow wako tiyari kukaa ndani Kwa miaka ningine 6 ili akija mwingine ayatengue haya,
Yatasemwa mengi ngoja niishie hapa kwanza
Kumbe kuna ufalme mara mbili kuna ule wa kuwa nao milele, lakin kuna wa kuonjeshwa na muda wake ukaisha ni mbaya sana
Nutafufua uzi huu mwaka 2028 panapo majaliwa Mungu atupe uzima
Britannica
Ni kama haujaelewa alichokiandika mleta uzi; kwenye maelezo yake amesema ifikapo mwaka 2026, ambapo ni iwe au usiwe lazima Magufuli aachie ngazi kwa mujibu wa katiba. Hivyo basi anakubali kuwa 2020 mpaka 2026 bado JPM atakalia usukani jambo ambalo hata mimi nitafurahi kuona linatokea ila ikifika 2026 aachie tu kiroho safi!Maneno ya kukata tamaa ya maisha, acha kupoteza muda kusubiri Magufuli ashindwe, jaribu hata kupigia simu wazazi/ndugu/jamaa au marafiki uwaambie kwamba unawapenda angalau upate thawabu kama hata unaamini.
Magufuli ni Raisi wa V wa JMTZ, hahitaji kuthibitisha chochote kwako!
Upo ?Amen
Mungu atupe uzima
KumbeHujui usemalo, upo nyuma sana
Hivi wewe mataga enzi za Kikwete mlivyokua mnakata viuno hapa kulazimisha kuwa pesa za Escrow sio za Umma mlidhani mmemaliza kila kitu?
Vipi bado mambo yako vile vileUtasubiri sana mpaka uende kaburini!!
Anayepanga nani atangulie kaburini ni Mungu. Naona aliamua atangulie mtu wako.Utasubiri sana mpaka uende kaburini!!
Mkùu una maono makubwaNi Kama kausahau unafiki wa Watanzania,
Hawa hawa kina Lemutuz na Makonda walikuwa wananyenyekea Kwa Kikwete lakin wamepata muabudiwa mpya
Usishangae Mwaka 2026 akiwa amekubali kuachia madaraka wakiibua hoja hizi
Tunataka kujua mchakato wa manunuzi ya ndege zetu kuna harufu fulani
Kuna waliopotea bila kuonekana najua kuna mahojiano yataanza sana
Kina Rugemalila wa Escrow wako tiyari kukaa ndani Kwa miaka ningine 6 ili akija mwingine ayatengue haya,
Yatasemwa mengi ngoja niishie hapa kwanza
Kumbe kuna ufalme mara mbili kuna ule wa kuwa nao milele, lakin kuna wa kuonjeshwa na muda wake ukaisha ni mbaya sana
Nutafufua uzi huu mwaka 2028 panapo majaliwa Mungu atupe uzima
Britannica
Vile vile mkuu tunakula nchi kwa urefu wa kamba yetuVipi bado mambo yako vile vile