Siku akitoka madarakani hataamini macho na masikio yake kwa wale waliokuwa wanampigia makofi na vifijo

Utaufufua uzi huu 2028 kama jf haitafungiwa..Udictator utakaofanyika katika kipindi cha pili (2020-2025) utakuwa wa machozi jasho na damu!.

Kuna watu watakatwa mwakani kwenye kura za maoni na hawatakubali dictator jiwe azime ndoto zao za kisiasa.

Issue ya mrithi wa kiti cha magogoni nayo itakuwa moto, mtu atakayeachiwa ni kutoka kanda pendwa, hapo ndio mgawanyiko utakapoanzia.
 
Siku mtukufu magufuli anatoka ikulu ndiyo siku hiyo hiyo Bashite atahama Nchi pamoja na kikundi chake chote cha akina cyprian Musiba, Le mutuz na huyo mchochezi mpya anaitwa Joseph yona huwatishia watu kwenye Group za Whatsapp lakini akiwa JF hana ujanja hupigwa mpaka analegea
 

Watakaokatwa majina yao 2020 wataungana na kuwasha Moshi wa Ruangwa kila kona mpaka magufuli apaliwe aachie madaraka uchaguzi urejewe tena
 
Msiba alishindwa kulipa mahari baba rizmoko akamlipia lakini leo hii anamdhalilisha kama hana akili nzuri vile. Mfadhili mbuzi kuna siku utamla ndafu lakini binadamu kuna siku atakuudhi tu.
 
uzi huu utafufuka January 2021 wakati watu wanakimbizana kutafuta mitumbwi kule Bagamoyo & Mafia ya kuwavusha mafichoni Comoro!
 
Ni kama haujaelewa alichokiandika mleta uzi; kwenye maelezo yake amesema ifikapo mwaka 2026, ambapo ni iwe au usiwe lazima Magufuli aachie ngazi kwa mujibu wa katiba. Hivyo basi anakubali kuwa 2020 mpaka 2026 bado JPM atakalia usukani jambo ambalo hata mimi nitafurahi kuona linatokea ila ikifika 2026 aachie tu kiroho safi!
 
Mkùu una maono makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…