Siku akitoka madarakani hataamini macho na masikio yake kwa wale waliokuwa wanampigia makofi na vifijo

Siku akitoka madarakani hataamini macho na masikio yake kwa wale waliokuwa wanampigia makofi na vifijo

Jiwe walilolikataa waashi lumekuwa jiwe kuu la pembeni .Duniani hakuna kitu kizuri Kama muda.subiri baadae kila mtu dawa itamuingia ataelewa
 
Ni Kama kausahau unafiki wa Watanzania,

Hawa hawa kina Lemutuz na Makonda walikuwa wananyenyekea Kwa Kikwete lakin wamepata muabudiwa mpya

Usishangae Mwaka 2026 akiwa amekubali kuachia madaraka wakiibua hoja hizi

Tunataka kujua mchakato wa manunuzi ya ndege zetu kuna harufu fulani

Kuna waliopotea bila kuonekana najua kuna mahojiano yataanza sana

Kina Rugemalila wa Escrow wako tiyari kukaa ndani Kwa miaka ningine 6 ili akija mwingine ayatengue haya,

Yatasemwa mengi ngoja niishie hapa kwanza

Kumbe kuna ufalme mara mbili kuna ule wa kuwa nao milele, lakin kuna wa kuonjeshwa na muda wake ukaisha ni mbaya sana

Nutafufua uzi huu mwaka 2028 panapo majaliwa Mungu atupe uzima
Britannica
Haina haja ya kufufua, kwani tayari wamesha mchukua.
 
Back
Top Bottom