Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

Mimi sina funding tu...ila mi mwenyewe fid angekuwa mwanafunzi wangu

Mimi sina funding tu...ila mi mwenyewe fid angekuwa mwanafunzi wangu
ITs dark & hell is hot; Nakusalimu kwa jina la DMX,Big daddy Kane,Twista,Pharoahe Monch,Q-tip,Method Man,everlast,slick ricks,Mya-9.....Mkuu hebu tumwagie strength & weakness za msanii wetu FID Q hip hop/rap..
 
FID anajua sana, ukisikiliza ile ngoma yake ya propaganda ndio utatambua jamaa ni mkali sana kwenye hiphop.
 
Strength & weakness ni nyng namm ni mvivu wa kuandika magazeti.
Strength kubwa ni Ujumbe anaospit, technicality kwenye uandishi (wordplay, metaphor, similes, double/tripple entendres, schemes na punchlines)

Weakness kubwa ni low audibility...Hasikiki na matamshi yake na maneno anayochagua (wordchoice) inakuwa ngumu kueleweka mpaka mtu atafute lyrics (Kutoeleweka sio sifa ya sanaa.Inabidi ajaribu kuwa more conscise), pia aongeze versatility ya kuendana na wakati (Although recently amerekebisha hili ila bado anatakiwa kuimprove zaidi maana hajafikia versatility ya dogo kama Young killer), Aimprove Beat selection and Voice versatility(Yeye sauti na tone ni ileile kila ngoma, tone fulani ya kukaza...Najua unaijua) nk. Nk.

But all in all mazuri ni mengi kuliko mabaya..And he will no doubt go down as one of, if not the Best rappers to ever spit in the swahili language.
 
Mkuu mbona mimi ni fid q fan...ila nakubali hayuko perfect 100% although bado yupo in my top 3 apa bongo.

And yes Eminem is still overrated..I said it.
Eminem is the GOAT, and your opinion doesn't matter!

Kwa hapa bongo pia, Fid q is the GOAT.

NB: Kuna tofauti kati ya GOAT na King.
 
Fid kurap hapana ila hip hop penyewe
Best hip hop fid best rapper hapana kabisa anazidiwa mpaka na stamina
Kina joh makin nk
 
Yaani Joh Makini anamzidi FID Q.!!?? We jamaa una masikhara sana.
Fid kurap hapana ila hip hop penyewe
Best hip hop fid best rapper hapana kabisa anazidiwa mpaka na stamina
Kina joh makin nk
 
Propaganda ndio wimbo ninao ukubali sana kutoka kwa Ngosha, ule wimbo una ujumbe na umelenga uhalisia wa maisha yetu wabongo.

Sijaona Rapa mkali kama FID Q, mwamba anajua sana. Nasema sijaona Rapa mkali kuliko yeye. FID Q ndio hip hop halisi.
FID anajua sana, ukisikiliza ile ngoma yake ya propaganda ndio utatambua jamaa ni mkali sana kwenye hiphop.
 
Back
Top Bottom