Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshtuka.....Young kunya mtoe hapo
Ielewe mitaaMafanikio huja kwa kufanya unacho kipenda, The real FID Q
Tunapokuwa masikani masela hatuna kituuu!!!!! Sisi!Kwenye mada kama hizi ndo naelewa kweli mimi siujui mziki,
Kuna wasanii nawaona Kama so special wangepaswa ndo wawe kweny Top of the list, lakin ndo ata kutajwa hawatajwi, nisio wafikiria ndo wanao onwa ni bora,
Imagine anatajwa niki mbishi kabla ya Ngwea, Chidbenz, Langa, how!!!
Okey, Top five ya wasanii wangu bora wa mda wote Tz
Prof jay
Ngweir
Fid q
Juma nature
Chidbenzi
Nashukuru kwa tag
Yeah!Nashukuru kwa tag
Binafsi nilikuwa inspired sana na Fid Q na niweke wazi kuwa ni msanii ambaye nimemsikiliza sana ( sina maana nimesikiliza ngoma zake zote)
Kwangu mimi Fid Q sioni kama itakuwa ni heshima kumuita Rapa, huyu kwangu ni MC bora ila kwasasa namuona kama legendary zaidi.
Namuona legendary kwasababu katika current industry siyaoni yale makali yake ambayo yalikuwa yananikosha kipindi kile
Hata humu katika comments za wadau wengi wamekuwa wakitoa references za nyimbo zake za zamani kama ni nyimbo kali zilizofanya wamkubali Ngosha.
Ngoma yake ya mwisho kuikubali ya miaka ya hivi karibuni ni Sumu (hii ni personal perspective na sio universal perspective)
Alichokuwa anakifanya miaka ile na nikakipenda, kimekuwa kikifanywa na ma underground chipukizi kama Dizasta Vina, Nala Mzalendo, Mawenge, nk
So kwangu mimi Fid Q ni legendary anayeishi ila katika current industry kuna wadogo zake ambao aliwa inspire na sasa wanapita zile njia zilizofanya nimkubali.
Juma nature? Hip hop?Kwenye mada kama hizi ndo naelewa kweli mimi siujui mziki,
Kuna wasanii nawaona Kama so special wangepaswa ndo wawe kweny Top of the list, lakin ndo ata kutajwa hawatajwi, nisio wafikiria ndo wanao onwa ni bora,
Imagine anatajwa niki mbishi kabla ya Ngwea, Chidbenz, Langa, how!!!
Okey, Top five ya wasanii wangu bora wa mda wote Tz
Prof jay
Ngweir
Fid q
Juma nature
Chidbenz
Faida na hasara za usomaji vitabu/maandishi/bookish/bookworm/avid reader...Hasara mojawapo kubwa usipokuwa makini utakuwa unacopy na pia unaelea-elea katika mawazo/mitazamo/fikra na tafiti za watu:Muhimu sana kutazama uhalisia wa mazingira yako na kutokuwa dodoki....FID Q maandishi yake katika nyimbo zake nyingi yanaangukia katika hasara tajwa hapo juu.
Fid kurap hapana ila hip hop penyewe
Best hip hop fid best rapper hapana kabisa anazidiwa mpaka na stamina
Kina joh makin nk
SaluteStrength & weakness ni nyng namm ni mvivu wa kuandika magazeti.
Strength kubwa ni Ujumbe anaospit, technicality kwenye uandishi (wordplay, metaphor, similes, double/tripple entendres, schemes na punchlines)
Weakness kubwa ni low audibility...Hasikiki na matamshi yake na maneno anayochagua (wordchoice) inakuwa ngumu kueleweka mpaka mtu atafute lyrics (Kutoeleweka sio sifa ya sanaa.Inabidi ajaribu kuwa more conscise), pia aongeze versatility ya kuendana na wakati (Although recently amerekebisha hili ila bado anatakiwa kuimprove zaidi maana hajafikia versatility ya dogo kama Young killer), Aimprove Beat selection and Voice versatility(Yeye sauti na tone ni ileile kila ngoma, tone fulani ya kukaza...Najua unaijua) nk. Nk.
But all in all mazuri ni mengi kuliko mabaya..And he will no doubt go down as one of, if not the Best rappers to ever spit in the swahili language.
Hata wewe ukienda wa putin ukajifanya shoger watakuoaNenda kwa Biden jifanye shoga watakusponsor..
Fid Q
Chid benz
Ngwair
Nick mbishi
Professa J
Dizasta vina
nash mc mwenye VVU
One
Stereo
Afande sele
FA
Killer msodoki
Stamina
Lord eyes
Bonta maarifa
Conboi cannabino
Malume
ndo watu naowaelewa zaidi
Ivi inaitwaje au tupe list ya must listen ya hio albumKiller kaua sana kwenye Albamu yake. Hatari sana yule dogo.